Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
uliyasoma kitabu gani ??Wadau hamjamboni nyote?
Nafarijika nikisoma maneno hayo
Niwatakie siku njema
Weka ka mstari basiWadau hamjamboni nyote?
Nafarijika nikisoma maneno hayo
Niwatakie siku njema
Luka 1:32-33 Yeye atakuwa mkuu, naye ataitwa Mwana wa Aliye Juu Sana. Bwana Mwenyezi Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi baba yake. 33 Ataimiliki nyumba ya Yakobo milele, na ufalme wake hautakuwa na mwisho.βWadau hamjamboni nyote?
Nafarijika nikisoma maneno hayo
Niwatakie siku njema
Hiyo quaran Yako inakudanganya.Qur'ani ilisha wapa challenge hamjatoa jibu leo zaidi ya miaka 1448 ilisema Ibrahim sio Yahudi na wala sio Kristo sa vipi mseme Yakobo ni Myahudi π π
Lazima mfahamu Israel na Bani Israel sio wote Wayahudi na Sio Wote Wakristo Wapo walio ongoka ndio Waislam na Wapo walio potea ni Wayahudi na Wakristo.
Luka 1:32-33 Yeye atakuwa mkuu, naye ataitwa Mwana wa Aliye Juu Sana. Bwana Mwenyezi Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi baba yake. 33 Ataimiliki nyumba ya Yakobo milele, na ufalme wake hautakuwa na mwisho.β