Wakulaumiwa ni wale waliomshupalia Jk asiitishe Kura ya Maoni kwa kuwa tu Serikal 3 zilikataliwa wakat mambo Mengi ya msingi yalipita, jk alijua Kabisa Utawala mpya usingependa Katiba Mpya lakin wale Wanasiasa wetu waliokuwa na weledi wa Kisiasa wakadhan wanamkomoa Jk. Kwny Siasa lazima uwe Mjanja wa kutumia Fursa kadri zinapojitokez
Mwakyembe kazungumza Kama Mwansiasa sio Mwanasheria Kwan hata Mzee Kingunge Ngombale Mwiru aliwahi kumuwakia jk kwa kuanzisha mchakato wa Katba mpya bila ya ridhaa ya CCM wakat Jk alifanya hivyo alijua CCM kamati kuu wangekataa alisema Si kipaumbele lakin Siku hizi yupo UKAWA anapigania ile Katiba Mpya