Wakuu nataka kujiingiza kwenye kilimo maeneo ya Kibiti. Kuna mwenye mawasiliano ya bwana shamba wilaya ya KIBITI ili niweze kupata ushauri kwake juu ya mazao ya kulima, aina za mbegu na muda wa kufanya maandalizi?
Ngumu sana kutoa mawasiliano ya mtu mzee... hasa kwa mtu ambaye umfahamu... ila kama upo dar... una weza funga safari ya masaa 2 hadi ma 3... kufika ofisi zilipo... stand ya mabasi na ofisi za wilaya ni kama mita mia... na usafiri ni wa kutosha mpaka saa kumi na mbili jioni... nauli nazani ni buku 4 au tano... kutoka mbagala rangi 3 to kibiti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.