Tulikupongeza sana kwa move ya kutetea watu wasiibiwe na mitandao ya simu maana ni wezi wakubwa kupitiliza. Ukasema una maongezi nao. Ukaleta mrejesho wa kwanza kuwa wamekuita mnaongea lkn bado kesi inaendelea kufunguliwa. Kama watakubaliana na maombi yako, ni kiasi cha kufuta kesi.
Sasa umekuwa kimya! AU UMESHAVUTA "ZAKO", UMELAMBISHWA ASALI!
TUNAOMBA MREJESHO!