Bwana yesu asifiwe wana jf wote!

mdeka1

New Member
Joined
Jun 4, 2012
Posts
4
Reaction score
2
Hodi jamani humu ndani! mimi mgeni wenu naomba mnipokee. mnielekeze na kuniongoza mpaka niwe mwenyeji! sawa jamani?

  • :lol:
    • :juggle:



 
Dah... Tangu jana watu wanaingia JF kwa vituko!!!
 
Naona mtumishi umefikia jukwaa la mapenzi direct, Karibu sana!
 
Karibu we ni wakike au wakiume?
 
anakuja kukukaribisha ally kombo
 
Ameeeeen, karibu sana ila una mambo wewe, unakuja kujitambulisha katika jukwaa la malove.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
cacico, madame, karibisheni mgeni...kuna chai na karoti..karibu mkuu
 
Hodi jamani humu ndani! mimi mgeni wenu naomba mnipokee. mnielekeze na kuniongoza mpaka niwe mwenyeji! sawa jamani?

  • :lol:
    • :juggle:

Karibu huku mlango wa nyuma twala tende na halua! Karibu shakhe ila usisahau kuja na msuli wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…