Bwana yesu asifiwe wapendwa

Bwana yesu asifiwe wapendwa

jonas amos

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
3,645
Reaction score
4,438
*CHEKA KIDOGO Wachungaji watatu walikutana kwa siri na kuelezana matatizo yao ili waweze kuombeana. MCHUNGAJI WA KWANZA: mimi tatizo langu ni wizi, kila nikimaliza ibada lazima niibe pesa za sadaka. WA PILI: Mimi tatizo langu ni wanawake yani nimeshalala na wana kwaya wote pamoja na mke wa ASKOF. WA TATU akaanza kulia badala ya kuongea.WENZAKE: We vp unatatizo gani mbona unalia??? AKAJIBU: jamani mimi tatizo langu ni "umbea" haya yote tuliyoongea lazima nikaseme!*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji23][emoji23]
 
Non n void
 
Mtawatambua kwa kwa kwa matendo yao.... Bila shaka wewe ni padri feki. Kwa hiyo unaona sawa tu Yesu Kristo kutajwa kwenye mambo ya mizaha?

Yesu kitu gani bana...
Acheni ushamba nyie.
Ndio maana Papa wenu anataka ku-edit sala ya Baba yetu. Hehehe
 
Padre uchwara?! Kumfanyia dhihaka na mzahaYesu unaona ni jambo dogo???

Naona Pengo kawafunga akili zote.
Kwahiyo nikitaja Yesu nikiwa Baa nakunywa Bia nitakufa ????
Washamba kweli nyie
 
Ikiwa alidhihakiwa akiwa hai hai na wakamtundika kwenye mti na kusuluhiwa ni laaan kama maandiko ya bibilia inavyosema huyu wengine huko kwa wenye wameenda mbele zaidi kwa kudai kuwa kufanya ushoga wao wanamfuata yesu nikjmsikia msanii mmoja marekani akisema "am proud ti be gay as jesus himself was gay"
 
Naona Pengo kawafunga akili zote.
Kwahiyo nikitaja Yesu nikiwa Baa nakunywa Bia nitakufa ????
Washamba kweli nyie
Nyie ndiyo wasenge kabisa na huyo babuseya wenu(mohamed) eti mtume Mungu hawezi mtuma mtu mzinifu kiasi hicho?
 
Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako. Ukileta ujuaji ntaweka hapa vikaragosi vya mwamedi Bila kuchelewa

Kwahiyo yesu ndio Bwana Mungu!!!!!
Unajua kuwa unaongea na mtu nilosoma Ukristo miaka 17 kabla sijaukimbia.
You know nothing about Theology
 
Back
Top Bottom