jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Non n void*CHEKA KIDOGO Wachungaji watatu walikutana kwa siri na kuelezana matatizo yao ili waweze kuombeana. MCHUNGAJI WA KWANZA: mimi tatizo langu ni wizi, kila nikimaliza ibada lazima niibe pesa za sadaka. WA PILI: Mimi tatizo langu ni wanawake yani nimeshalala na wana kwaya wote pamoja na mke wa ASKOF. WA TATU akaanza kulia badala ya kuongea.WENZAKE: We vp unatatizo gani mbona unalia??? AKAJIBU: jamani mimi tatizo langu ni "umbea" haya yote tuliyoongea lazima nikaseme!*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji23][emoji23]
*CHEKA KIDOGO Wachungaji watatu walikutana kwa siri na kuelezana matatizo yao ili waweze kuombeana. MCHUNGAJI WA KWANZA: mimi tatizo langu ni wizi, kila nikimaliza ibada lazima niibe pesa za sadaka. WA PILI: Mimi tatizo langu ni wanawake yani nimeshalala na wana kwaya wote pamoja na mke wa ASKOF. WA TATU akaanza kulia badala ya kuongea.WENZAKE: We vp unatatizo gani mbona unalia??? AKAJIBU: jamani mimi tatizo langu ni "umbea" haya yote tuliyoongea lazima nikaseme!*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji23][emoji23]
Usimtaje Yesu kwenye upuuzi!
Padre uchwara?! Kumfanyia dhihaka na mzahaYesu unaona ni jambo dogo???Kwani akimtaja kuna tatizo gani...
Atakufa???
Acha mikwara Mbuzi wewe.
mbona vikichorwa vikaragosi vya mwamedi mnakasirika?Kwani akimtaja kuna tatizo gani...
Atakufa???
Acha mikwara Mbuzi wewe.
Mtawatambua kwa kwa kwa matendo yao.... Bila shaka wewe ni padri feki. Kwa hiyo unaona sawa tu Yesu Kristo kutajwa kwenye mambo ya mizaha?Kwani akimtaja kuna tatizo gani...
Atakufa???
Acha mikwara Mbuzi wewe.
Mmeona eeh?mbona vikichorwa vikaragosi vya mwamedi mnakasirika?
Padre uchwara?! Kumfanyia dhihaka na mzahaYesu unaona ni jambo dogo???
Mtawatambua kwa kwa kwa matendo yao.... Bila shaka wewe ni padri feki. Kwa hiyo unaona sawa tu Yesu Kristo kutajwa kwenye mambo ya mizaha?
mbona vikichorwa vikaragosi vya mwamedi mnakasirika?
Padre uchwara?! Kumfanyia dhihaka na mzahaYesu unaona ni jambo dogo???
Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako. Ukileta ujuaji ntaweka hapa vikaragosi vya mwamedi Bila kuchelewaKuchora na kutaja, unajua tofauti yake???
Acheni Utumwa wa dini nyie.
Ndio maana Papa wenu anataka ku-edit sala ya Baba yetu. He he he he
Ikiwa alidhihakiwa akiwa hai hai na wakamtundika kwenye mti na kusuluhiwa ni laaan kama maandiko ya bibilia inavyosema huyu wengine huko kwa wenye wameenda mbele zaidi kwa kudai kuwa kufanya ushoga wao wanamfuata yesu nikjmsikia msanii mmoja marekani akisema "am proud ti be gay as jesus himself was gay"Padre uchwara?! Kumfanyia dhihaka na mzahaYesu unaona ni jambo dogo???
Nyie ndiyo wasenge kabisa na huyo babuseya wenu(mohamed) eti mtume Mungu hawezi mtuma mtu mzinifu kiasi hicho?Naona Pengo kawafunga akili zote.
Kwahiyo nikitaja Yesu nikiwa Baa nakunywa Bia nitakufa ????
Washamba kweli nyie
Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako. Ukileta ujuaji ntaweka hapa vikaragosi vya mwamedi Bila kuchelewa
Nyie ndiyo wasenge kabisa na huyo babuseya wenu(mohamed) eti mtume Mungu hawezi mtuma mtu mzinifu kiasi hicho?