Bwawa la kufugia Samaki

Tougher

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
245
Reaction score
65
Poleni kwa kazi wanajamvi,

Nataka kuingia katika ufugaji wa samaki, nipo katika hatua ya kutengeneza business plan. Moja kati ya vitu ninavyohitaji kuvifahamu ni gharama ya vitu vifuatavyo;

1. Gharama ya ujenzi wa bwawa katika ukanda huu wa pwani hususani mkuranga (including uchimbaji). Ukubwa wa bwawa 30 X 20 meters i.e. 600 square meters
2. Gharama ya vifaranga vya samaki (Sato)
3. Gharama za uchimbaji wa Kisima cha mita 100

Tafadhali kwa yeyote mwenye uelewa kuhusu hayo matatu tafadhali naomba anijuze


Wenu katika Maendeleo

Tougher
 

Jaribu kupitia hapa NAMNA YA KUTENGENEZA BWAWA LA SAMAKI (Fishpond) | Chapisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…