Bwawa la Nyerere Rufiji ni muhimu sana tuacheni siasa katika hili

Yaani huu ujinga sisomi kabisa sasa hamtaki rufiji mnataka tuhamie mradi gani?tuseme sasa...
 
Domestic routes, we were not organised. Kuna kipindi tulikuwa tunasubiri for hours kupata ndege ili tufike Dar au kutoka. We needed a reliable airline. Naamini kujenga viwanja vy ndege na domestic routes were critical for tourism and other commercial activities.
Private sector alone can not operate well in an industry where barely you can make a profit
 
Mimi nawashangaa wanaosema ATCL kuwa itachochea utalii. Kama sisi tunataka national carrier kwa sababu ya uzalendo basi na hao watalii watapanda ndege zao kwa sababu ya uzalendo.
Utalii unakuzwa kwa marketing, kuhakikisha tuna huduma nzuri, tunatunza vivutio ( sio kuvifunika na maji na kujenga lift mlima Kilimanjaro) na kuwa hatusemwi mno ( hili la ukaidi wetu kuhusu covid litatugharimu sana) n.k. Marketing ina gharama kubwa na mpaka sasa imetushinda. Sababu nyingine ya watu kuchagua airline ni urahisi wa connection (vindege viwili haviwezi hili na Dar sio hub), Frequent flier miles ( kuziongeza na kuzitumia), package deals ( mahoteli, makampuni ya utalii na mashirika ya ndege wanashirikiana kutoa ofa nzuri), huduma kwenye ndege ( zinafuata ratiba, zinatoa chakula na entertainment nzuri ndani ya ndege, hali ya ndege n.k.) na mengine mengi. Ukweli ni kuwa watakaopanda ATCL wengi watakuwa ni watumishi wa umma wasio na jinsi. Hata hao wana siasa watajenga hoja wapande Emirates ili wafanye shopping Dubai.

Amandla...
 
Sio kweli
 
kimsboy ,

..hivi tuna taarifa za uhakika kuhusu mradi wa umeme wa Rufiji?

..kwa mfano, mradi utagharimu kiasi gani. Na fedha za mradi zinatoka wapi.

..Je, tunajenga kwa mkopo? Mkopo umetolewa na nani? Kwa masharti gani?

..Je, mradi utakapokamilika utatoa umeme wa uhakika? Je, tutamuda gharama za umeme huo?

..Gharama tutakazotumia ktk mradi zitakuja kufidiwa na watumiaji. Kwa maana kama tunajenga kwa mkopo wenye masharti mabaya basi umeme utakaozalishwa Rufiji utauzwa kwa bei kubwa kwa wateja.

.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…