Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Seleman Bungara (Bwege), aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, anasema "Dalili zote Mbowe hayupo CHADEMA"
Soma > Bwege: Polepole Kathibitisha CCM ndiyo tatizo, inavunja Katiba ya Chama na Tanzania na inadharau maoni ya Watanzania
Hizo siyo dalili tu,ni uthibitisho tosha na ulio dhahiri.
Huyo Mtu alikuwa Mamluki wao tangu zamani, ndio maana unaona kwamba alikuwa anawauza wenzake kwa 'Sponsa' wake.Hiyo Chadema inabidi either ife au wale mamluki waondoke wote tofauti na hapo siasa za upinzani zitakuwa ni za kupotezeana muda
Bwege amekuwa msemaji wa Chadema? Na hivi wanajua Mbowe anaongea nini na Samia kuhusu Lissu? Pamoja na Yericko kusema kuwa Mbowe amemtembelea mara tatu Lissu gerezani yeye na wenzake wenye kinyongo na Mbowe wanasema hajawahi kumtembelea. Chadema kama kweli wana mhitaji Mbowe wanajua namna ya kumpata. Kama hawajampata ni kuwa wamejitosheleza na kuwa hawamuhitaji.Seleman Bungara (Bwege), aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, anasema "Dalili zote Mbowe hayupo CHADEMA"
Soma > Bwege: Polepole Kathibitisha CCM ndiyo tatizo, inavunja Katiba ya Chama na Tanzania na inadharau maoni ya Watanzania
Hiyo Chadema inabidi either ife au wale mamluki waondoke wote tofauti na hapo siasa za upinzani zitakuwa ni za kupotezeana muda