Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Hapa tanzania hakuna chama chenye demokrasi hata kimoja isipokua hii chadema ya Lissu ndo inajitahidi kuanza ~ Bwege ,Mheshimiwa Bwege ameruka maji, amekanyaga matope.
Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini na Kada wa chama cha ACT Wazalendo, Selemani Bungala almaarufu "BWEGE" amesema Profesa Ibrahim Lipumba ni moja Kati ya watu wabaya Katika siàsa za Tanzania Kwani yeye ndio aliyechangia kudumaza Chama cha wananchi CUF.