Tena Bata asiye na AkiliKwanza kwa yote tumuombe Mungu ampe afya njema Mzee selemani bungala.
Nimemsikia Eatv akichambua siasa za chadema kwasasa zilipo fikia ni sehem nzuri na ukweli na unafiki wa Mbowe utajulikana kabla ya mwezi wa nane kwasabb kwasasa anafanya michezo ya Bata kutanguliza watoto halafu yeye anafuata.
Kuhusu uchaguzi alishauri chama chake act kisishiriki uchaguzi lakini maamuzi ya wengi yaliamua washiriki uchaguzi.
Je hili linaukweli?
Binafsi naamini hili linaukweli asilimia 90.
Tusubiri mwezi wa nane.
Hapo awali mlimuita mwamba tuvushe ha ha ha😂Mbowe ni nyoka wa kijani
Kama wanachadema wasipo muelewa bwege sijui watamuelewa nani tenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeehhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh, mwamba tuvushe imekuwa mwamba tuangushe, wanakanyagana
Mbowe kavunja heshima ake yoteCdm mbowe mpaka sasa mmeshamvumilia vya kutosh Achaneni nae. Hata vikao vya kamati kuu asialikwe tena. Ni jitu lenye tamaa ya madaraka. Linafiki
Bwege yuko sahihiKwanza kwa yote tumuombe Mungu ampe afya njema Mzee selemani bungala.