Mafia Island Boy
Member
- Apr 1, 2017
- 16
- 28
Huyu Mzee Mungu alimwokoa kifo cha Stroke kwakuwa alijua Mision yake ilikuwa haijaishaView attachment 3527109
Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Suleman Bungara, 'Bwege' amesema kuwa kitendo cha kufunga makanisa au kushambuliwa kwa viongozi wa dini hiyo kitendo hicho wangefanyiwa dini ya Kiislam kusingekalika
Bwege akizungumza na MwanaHALISI Digital alisema kuwa kitendo cha kufungia kingefanywa kwa Waislam kwa kufungia nyumba zao za ibada mambo yangekuwa tofauti.
Amesisitiza kuwa matendo hayo sio mazuri kwa kuwa dini katiba na sheria za nchi zinatoa haki kamili ya kuabudu kwa waumini wa dini zote.
"Sisi kwenye uislam kuna kisasi na kisasi ni haki hii naona hata wakristo wanayo kwa sababu Yesu kristo alisema hakuja kufuta Taurati na Taurati imesema kisasi ni haki Daudi alipigana na watesi wake.
View: https://www.youtube.com/watch?v=T57QUOhoams
Bwege amesema kuwa serikali ifikirie upya masuala masuala ya kufungia nyumba za ibada kwa kuwa njia hiyo inaibua chuki .
Huyu Mzee amenyoka Toka kitamboHuyu sio bwege tena ni mwerevu huyu
Umesikia hako ka kicheko ka Bwana bwege😂😂View attachment 3527109
Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Suleman Bungara, 'Bwege' amesema kuwa kitendo cha kufunga makanisa au kushambuliwa kwa viongozi wa dini hiyo kitendo hicho wangefanyiwa dini ya Kiislam kusingekalika
Bwege akizungumza na MwanaHALISI Digital alisema kuwa kitendo cha kufungia kingefanywa kwa Waislam kwa kufungia nyumba zao za ibada mambo yangekuwa tofauti.
Amesisitiza kuwa matendo hayo sio mazuri kwa kuwa dini katiba na sheria za nchi zinatoa haki kamili ya kuabudu kwa waumini wa dini zote.
"Sisi kwenye uislam kuna kisasi na kisasi ni haki hii naona hata wakristo wanayo kwa sababu Yesu kristo alisema hakuja kufuta Taurati na Taurati imesema kisasi ni haki Daudi alipigana na watesi wake.
View: https://www.youtube.com/watch?v=T57QUOhoams
Bwege amesema kuwa serikali ifikirie upya masuala masuala ya kufungia nyumba za ibada kwa kuwa njia hiyo inaibua chuki .
Naunga mkono hoja..View attachment 3527109

RIP BwegeView attachment 3527109