Bwejuu International Marathon 2024

Bwejuu International Marathon 2024

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Karibuni Visiwani kwa ajili ya Bwejuu International Marathon itakayofanyika tarehe 09 Disemba 2024.

Pesa zitakazokusanywa zitapelekwa Nungwi kusaidia waathirika wa dawa za kulevya.

NB: Marathon itaanzia Bwejuu - Ukorongoni -Charawe -Chwaka na kurudi tena Bwejuu.
 
Aisee, Bwejuu International Marathon, Kizmkaz Festivals, Kizmkaz International Stadium, aiseee!
 
Marathon imekuwa fashion siku hizi...
Mkienda Olympic hoiiiii

Ova
Hapo kuna majinga huwa yanapigwa tu bila kujua. Organisers wa hizi makitu hawana tofauti na wale wa BIKO, Tatu Mzuka, Mwamposa na matapeli wengine wa aina hiyo.

Imagine 42,500 wakalipa watu 3,000 tu ni million 127+. Wanawatengenezea matishirts maronya ya buku buku na kofia za ccm na kibali jumla haifiki hata million 10. Hizo wanazowaambia wanapeleka kwa waathirika wa madawa unashangaa wanapeleka viroba kadhaa vya unga na sukari gharama hata haifiki million 5.

Yani zaidi ya million 100 wahuni wanagawana halafu wanatafuta target nyingine ya wajinga wakuwapiga.
 
😄

Twenzetu Bwejuu
 
Ila watu wengi wanapenda kushiriki kama hobby tu na kupata zile medals. Kuna watu huwaambii kitu kwa marathon wanazifuata hata kama ni porini, hivyo kutoa kiasi kama elfu 40 wala hawaoni kitu.
 
Ni nafasi nzuri ya kupata network
 
Karibuni Visiwani kwa ajili ya Bwejuu International Marathon itakayofanyika tarehe 09 Disemba 2024.

Pesa zitakazokusanywa zitapelekwa Nungwi kusaidia waathirika wa dawa za kulevya.

NB: Marathon itaanzia Bwejuu - Ukorongoni -Charawe -Chwaka na kurudi tena Bwejuu.
Hii nchi mianya ya upigaji inaanzishwa lila kukicha.

Tufanyeni kazi jamani na kupanua wigo mpana.
 
Back
Top Bottom