Wahuni tu nyieGharama ni 42,500 (utapata t-shirt, namba ya Ushiriki na kofia). Karibuni Unguja.
Aisee, Bwejuu International Marathon, Kizmkaz Festivals, Kizmkaz International Stadium, aiseee!Karibuni Visiwani kwa ajili ya Bwejuu International Marathon itakayofanyika tarehe 09 Disemba 2024.
Pesa zitakazokusanywa zitapelekwa Nungwi kusaidia waathirika wa dawa za kulevya.
NB: Marathon itaanzia Bwejuu - Ukorongoni -Charawe -Chwaka na kurudi tena Bwejuu.
42'500, Fafanua kuhusu Malachi,chakula,usafiri ukiwa huko,kwa kukutania wapi huko Bwejuu.nkGharama ni 42,500 (utapata t-shirt, namba ya Ushiriki na kofia). Karibuni Unguja.
Poa nakuja!Hizo gharama ni juu yako Mshiriki
Hivi Zanzibar walikua na timu Olimpiki?Marathon imekuwa fashion siku hizi...
Mkienda Olympic hoiiiii
Ova
Upigaji tu chiefMarathon imekuwa fashion siku hizi...
Mkienda Olympic hoiiiii
Ova
Hapo kuna majinga huwa yanapigwa tu bila kujua. Organisers wa hizi makitu hawana tofauti na wale wa BIKO, Tatu Mzuka, Mwamposa na matapeli wengine wa aina hiyo.Marathon imekuwa fashion siku hizi...
Mkienda Olympic hoiiiii
Ova
😄Hapo kuna majinga huwa yanapigwa tu bila kujua. Organisers wa hizi makitu hawana tofauti na wale wa BIKO, Tatu Mzuka, Mwamposa na matapeli wengine wa aina hiyo.
Imagine 42,500 wakalipa watu 3,000 tu ni million 127+. Wanawatengenezea matishirts maronya ya buku buku na kofia za ccm na kibali jumla haifiki hata million 10. Hizo wanazowaambia wanapeleka kwa waathirika wa madawa unashangaa wanapeleka viroba kadhaa vya unga na sukari gharama hata haifiki million 5.
Yani zaidi ya million 100 wahuni wanagawana halafu wanatafuta target nyingine ya wajinga wakuwapiga.
Twenzetu BwejuuHapo kuna majinga huwa yanapigwa tu bila kujua. Organisers wa hizi makitu hawana tofauti na wale wa BIKO, Tatu Mzuka, Mwamposa na matapeli wengine wa aina hiyo.
Imagine 42,500 wakalipa watu 3,000 tu ni million 127+. Wanawatengenezea matishirts maronya ya buku buku na kofia za ccm na kibali jumla haifiki hata million 10. Hizo wanazowaambia wanapeleka kwa waathirika wa madawa unashangaa wanapeleka viroba kadhaa vya unga na sukari gharama hata haifiki million 5.
Yani zaidi ya million 100 wahuni wanagawana halafu wanatafuta target nyingine ya wajinga wakuwapiga.
Ila watu wengi wanapenda kushiriki kama hobby tu na kupata zile medals. Kuna watu huwaambii kitu kwa marathon wanazifuata hata kama ni porini, hivyo kutoa kiasi kama elfu 40 wala hawaoni kitu.Hapo kuna majinga huwa yanapigwa tu bila kujua. Organisers wa hizi makitu hawana tofauti na wale wa BIKO, Tatu Mzuka, Mwamposa na matapeli wengine wa aina hiyo.
Imagine 42,500 wakalipa watu 3,000 tu ni million 127+. Wanawatengenezea matishirts maronya ya buku buku na kofia za ccm na kibali jumla haifiki hata million 10. Hizo wanazowaambia wanapeleka kwa waathirika wa madawa unashangaa wanapeleka viroba kadhaa vya unga na sukari gharama hata haifiki million 5.
Yani zaidi ya million 100 wahuni wanagawana halafu wanatafuta target nyingine ya wajinga wakuwapiga.
Ni nafasi nzuri ya kupata networkIla watu wengi wanapenda kushiriki kama hobby tu na kupata zile medals. Kuna watu huwaambii kitu kwa marathon wanazifuata hata kama ni porini, hivyo kutoa kiasi kama elfu 40 wala hawaoni kitu.
Hii nchi mianya ya upigaji inaanzishwa lila kukicha.Karibuni Visiwani kwa ajili ya Bwejuu International Marathon itakayofanyika tarehe 09 Disemba 2024.
Pesa zitakazokusanywa zitapelekwa Nungwi kusaidia waathirika wa dawa za kulevya.
NB: Marathon itaanzia Bwejuu - Ukorongoni -Charawe -Chwaka na kurudi tena Bwejuu.