Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Bweni watoto wa kiume, kidato cha kwanza katika shule ya Wazo Hill secondary limewaka moto.
Hadi naingia jf, hakuna taarifa za majeruhi wala kifo, watoto wote wako salama. Kikubwa wamepoteza vitu vyao vyote.
Sababu za moto huo nii hitilafu ya umeme.
Kwa wazazi ama ndugu wenye watoto hapo no vizuri kucheki nao kama wanahitaji msaada.