By George Ambangile:Yanga wanajua kuvumilia Shida uwanjani,Simba inatakiwa ku improve beki iwe Sharp.

By George Ambangile:Yanga wanajua kuvumilia Shida uwanjani,Simba inatakiwa ku improve beki iwe Sharp.

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Soma Uchambuzi Mfupi na Madini ya Chambuzi lenye Ufahamu na Mpira kwa Mapana yake.

Achana na hao kila siku wao hawachambui kazi kuuliza Ali kamwe yupo wapi?

Mara Ubaya Ubwela imeliwa.

Mara Simba Mchumba.
Screenshot_20240809-075727_Chrome.jpg


Nini Maoni yako Somaji?
 
Hahahahaha, ukisoma post za watu wa Simba kabla ya mechi unaeza kufa ..kumbe mijitu yenyewe hovyo
 
Back
Top Bottom