mtaka cha uvunguni sharti........subira huvuta.............
love is spontaneous, huyo hakua wako... alikuweka kwenye mizani mkuuI must say it is a combination of excited and unaware that some ladies do take me too seriously. There is this particular lady whose heart I must have torn to pieces. She is very beautiful but she's really serious about her life. I really wanted her for real. I took her for outings until I got tired of waiting for her to accept or to say "Yes". So I moved on but still took her for coffee whenever I could. Then she accepted out of the blue but I had lost interest. Have started avoiding her and ignoring her calls or telling her I'm busy with work. To my relief, she called and told me how pain she was by my actions and that she is breaking up with me. She sounded so hurt but what could I do.
Dah!
Jamani, hebu jaribu kukarudisha rudisha hako kainteresti.
Labda mwenzio alikuwa anakuchunguza.
Mkuu kainteresti kamehamia kwa mwingine. Sasa alivyo'na nimeanza kudate another lady ndio akaanza kuwa closer. Hata hivyo nimeona hanifai bcoz she is not business oriented (kuweza kumiliki shuguli zangu) but the new face to replace her seems to be. ila baado ni probability.
Hapana mkuu sio mimi. thread zimetokea kugongana man.
dah! Kumbe ushaopoa kipya. Basi mpotezee.
Halafu haya mapozi smtym yanatucost. Lol!
Hapana mkuu sio mimi. thread zimetokea kugongana man.
Kuringa muhimu na wewe bana unabembeleza kidogo unaloose interest?? Haya kazi kwako na yeye kabreak malove.
Hakuna cha what to do hapo ni life goes on tu
<br />Nimejaribu kutafuta comment ya chimala humu lakini siioni zaidi ya yeye kutoa thanks kibao na likes,...inakuaje ujombaa?
Dena ilikuwa zamani, sio siku hizi. Ni yes or no. Hakuna tena sibiri nitakuambia nikirudi kuchota maji
dah! Kumbe ushaopoa kipya. Basi mpotezee.
Halafu haya mapozi smtym yanatucost. Lol!
Nimeipenda hiyo.,
ha ha mkuu story yako imenigusa kweli nimeshika pembe mpaka nimechoka na kuamua kuachia ngazi, eti ndio anasema i love uu, gad em.
Mi hii ilinipata live nikiwa chuo. Nilimzimikia dem flani alikuwa anapiga buku la pharmacy pale MUHAS. Yani tangu day one tumeripoti na wenyewe wameripoti kwao huwezi amini mtu mzima nilikuwa natinga maeneo ya MUHAS kumpiga ofa kwa vijisenti vyangu uchwala vya kabla ya boom. Kila ijumaa nilikuwa jioni lazima niwasili MUHAS kumcheki, lakini duh alikuwa na zile za kujaza company room kwake, tukitoka anajadili masomo tuuuu, nikileta ishu zetu za maana anapotezea flani, lakini ofa analamba kama kawa, yani msela nilikuwa naambulia tabasamu tuuuu! Nimesonga nae kama miezi 6 hivi, washkaji zangu wa mlimani wanaamini nina demu MUHAS kumbe hola! Nikaona huu sasa mchoreko, nikaamua siku moja diii hakuna kufatilia tena wala nini, sipigi simu wala situmi vocha, kama ishakula kwangu poa haikuwa riziki. Naye pia akakaushia vilevile, nikaona poa. Tumeingia 2nd yr nikapata demu wa ukweli, palepale campus. Na yule wa MUHAS akaanza mizuka yake, mara simu mara sms hadi night kali, wakati flani nikawaza sijui nitungue tu mara moja kulipizia alivyonidiss kipindi kile halafu nimpotezee, nikapimaa nikaona no, nitaharibu huku. Akaanza safari za kunifata campus, basi nikawa nampiga chenga namwambia unajua sisi 2nd yr huwa hatupati room so niko off campus na washkaji na tena tuko kibao. Akawa haridhiki, anataka kuja tu, nikaweka ngumu. Akachunguza hadi akamjua demu wangu, aliponiuliza nikamwambia ulitegemea nini? Hii kitu wanaita kisebusebu kumbe kweli.