Apollo tyres
Senior Member
- Nov 16, 2024
- 134
- 363
Amefanya mchezo wa kitoto kumwaga hela na kuweka Mgombea anayemtakaUnapo katwa mara nyingi brain hu shake,inataka muda kupata stability!
Huo ni uzushi, Kwan TAKUKURU haipo?? Imeshindwa kumkamata?.Huyu Ndugu Byabato , anavyosema anaweka Mbunge anayemtaka anakuwa anamaanisha nini?
Je ikiwa yeye hakuwa Mgombea alipata kiburi wapi cha kusema Mimi "Naweka Mbunge ninayemtaka"
Naomba Ccm Kagera na Ccm TAIFA wafatilie hili Swala .
Swala hili kinatia mashaka Sana .Beer battle ndio nani, mbona kutajwa sana?.
SawaHuo ni uzushi, Kwan TAKUKURU haipo?? Imeshindwa kumkamata?.
Amegawa Hela Kwa Akina nani?.
Naona umetumia Pesa Kwa wajumbe, na bado wamekupiga chini, mamaeeee
Mwingine huyu