snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,437
- 2,043
Ni mwendelezo sasa mzuri sana Kwa CeX exchange au Centralized Exchange kama bybit kuwapa uhuru baadhi ya watumiaji wenye Imani zinazozingatia sharia fursa ya kuweza kutuma account zinazofuata misingi ya Imani zao.
Sharia ambayo huamini kwenda kinyume kabisa na riba (interest), Maysir (gambling) na gharar (uncertainty) pamoja na mambo mengine mengi yaliyokuwa prohibited kwenye Quran Tukufu na Sunnah
Bybit haijawahi jitangaza kama ni Islamic platform Wala kufanya kazi Kwa kuzingatia mienendo ya Kiislamu, lakini Kwa kutambua na kuheshimu Imani za watu mwezi huu wameamua kuleta fursa hii adimu hasa kwenye sarafu bandia na tukumbuke platforms nyingi sana ambazo zinatoa huduma mfanano hususani exchange na mabank yamewapa fursa watu wenye Imani ya sharia ikiwa ni pamoja na kuondoa kabisa riba (interest).
Bybit Kwa ushirikiano na CryptoHalal na ZICO Shariah Advisory Services Sdn. Bhd. (ZICO Shariah) ambao watahakikisha sharia inafuatwa ili kutovunja Imani ya mtumiaji wamechagua tokens ikiwemo, BTC, ETH, USDT, XRP, ADA, USDC, POL, AVAX, LINK, BNB, ATOM, LTC, UNI, XLM, ALGO, na nyingine nyingi kuwepo kwenye account maalumu Kwaajili ya muislamu.
Zaidi kuhusu Islamic and non Islamic account ,👉 Bybit World Centralized Exchange
Baadhi ya platform nyingine zinazotoa Islamic Account 👉 XM Islamic Account
Bybit Tanzania