Pasco_jr_ngumi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 1,802
- 283
Mwaka mbaya???? pole sana. Kwangu ulikua mwaka wa mafanikio kibao!Mwaka mbaya huo unaishia.
Mwaka mbaya???? pole sana. Kwangu ulikua mwaka wa mafanikio kibao!
Pamoja na yote!
Japo kwa uzima huu, ukilinganisha na misele niliyokuwa nayo hapa na pale....
Hapana lugha nyingine nayoweza kusema zaidi ya KUSHUKURU......
OK!! Mapenzi??? lol nadhani kwangu it's been great kwa kutumia formula yangu ya ease come ease go