Bye bye iPhone.... Hutamsahau Mchina

 
Nimecheka na kushangazwa kweli wale wote wanaoziponda brand nyingine na kusifia iPhone
Ukiwaangalia kimaisha ni watu wa kawaida wasio na chochote cha maana ya kujivunia walau hata kiwanda cha toothpick....
Unaanzaje kuikandia Tecno, itel na brand nyingine kwa mfano... Hizo zote ni brand zenye uwekezaji mkubwa na zinazotoa ajira nyingi sana... Kiasi kwamba hawa wote wanaozikandia hata wachangishane ukoo mzima hawana uwezo wa kufanya walau asilia 0.001 ya kile kinachofanywa na hizi brand
Zaidi wanazikandia hizi brand wakati sehemu kubwa ya ndugu na wanafamilia ndio wanazitumia... Unakaa nyumba ya kupanga, kiatu cha mchina, suruali na shati vya mtumba una kagari reject toka Japan na wengine ni kachala tu asilimia 90 ya wanavyotumia ni vya mchina leo hii hapa wanavuta midomo na kubana pua kuzikandia brand nyingine nje ya iPhone pyuuuuu....
Fahari ndio mama wa ujinga.....!!!!

Jr[emoji769]
 
Aliye create hii msg pengine hata nyumba hana

Jr[emoji769]
 
nimejaribu kumfuatilia huyu bwana mshana jr stories zake sometimes zinachekesha saaana,Anyways kaka hakuna simu unayoweza ilinganisha na iphone hapa duniani ndio maana kuna majina mawili iphone and smartphones pia kuna mac os and PC
iphone has the special user kaka ndiomaana utaona wanatengeneza device million moja then wanadiscontinue hio generation wanaamia nyingine kaka,Kabla ya kuandika vitu uwe unafikiri kwanza then unafanya criticalanalysis kwa kile unachotaka kukiongea
apple devices were not meant for everyone they were meant for special people kaka as the same as the rolex watches kaka
my regards
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…