Bye bye iPhone.... Hutamsahau Mchina

Marekani kamuuwa kabisa nani anunuwe simu isiyo na YouTube Google map wauze huko china tu
Shida yako ni Youtube au video streaming platform yenye kila ukitakacho?! Man, kila ambacho kimekuwa blocked China, kina alternative! China hakuna Youtube lakini kuna YouKu. Hii naweza kusema ni kwa ajili ya Wachina tu kwa sababu hata lugha inayotumika ni China! Kwa desktop au mobile phone app za YouKu huwezi kuzi-translate (kwa kutumia Google Translate) Na ingawaje inatumika China peke yake lakini ina mangoma kibao! Hata baadhi ya nyimbo za akina Diamond unazikuta! Pia kuna ma-movie kibao!

Hili sakata kama litaendelea, sina shaka kutakuwa na YouKu International/English version kwa ajili ya watumiaji walio nje ya China wataondoa baadhi ya restrictions kama vile picha chafu kwa sababu ndiyo wanatumia kama sababu ya ku-block YouTube. Kukishakuwa na Internation Version ya YouKu; video nyingi zaidi zitakuwa uploaded kutoka duniani kote kwa sababu wanao-upload videos/nyimbo shida yao ni kuona videos zao zinaangaliwa bila kujali zinaangaliwa kupitia platform ipi! So, am telling you, it's a matter of time! Kitu pekee ambacho watu watamizi ni zile direct Google services kama vile Gmail, GSuit n.k.

Suala hilo nimelielezea kwa undani zaidi hapa!
 
[emoji123][emoji120]dah nilipingwa mno na baadhi yetu

Walidhani umepiga ramli kama kawaida yako. C unajua wengine hawaamini ramli.

By the way mkuu naomba uniunge kwenye hayo magroup ya biashara, kuna link yako nliipata sehemu fln nkajaribu lkn naambiwa grup liko full. Nakutumia namba PM uniunge mkuu. Thanks in advance
 
Marekani kamuuwa kabisa nani anunuwe simu isiyo na YouTube Google map wauze huko china tu

We ushamba unakusumbua tu. Mbona xiamo versions za kwanza zilikua hazina GAPPS(hio full package ya apps za google) na bado zikauzika tu na zinauzika. Youtube mtu anaweza kuipata kama web, na kuna alternatives nyng mno. Af kumbuka china ina population kubwa sana na hata wakisema wazinunue wao tu na wachache wanaoelewa kutoka sehemu nyngne bado wataongoza soko tu.

Af kwa mtu mwenye maono ya mbali ataona hapa google wamefanya kosa coz kama hawa jamaa wakiamua kuinvest na kutengeneza alternative ya android basi google watapata pressure sana coz ktk tech hakuna kinachoshindikana tena mbele ya mchina
 
Kisasi cha marekani cha kumnyima Android na chip za Intel kinawatosha wachina...
 
Tatizo sio kuwa na OS tatizo ni content za Apps kwenye Gallery yao ya Apps... Playstore na Apple's IOS App store ina gallery ya kutosha ya apps... Hakuna OS inaweza kushindana nazo..
Na hichi ndo sababu kubwa ya Nokia Windows phone kufa
unadhani dunia ya leo kuna kutishana,hao wachina wana OS yao kabatini...probably the best kuliko hii android...wasingekua na jeuri hivi
 
Simu za zamani zitaendelea kuwa na hizi apps... Ila matoleo mapya ya Huawei ndo yamekatazwa
Pia simu za zamani zitashindwa ku upgrade OS mpya za Android
Leo wameshushiwa DIRECT SANCTION na MMAREKANI. Dah naona P20 akiuzwa laki 3 kule kariakoo nap maskini hana hata google wala youtube. Ni KISANGA.
 
Af kwa mtu mwenye maono ya mbali ataona hapa google wamefanya kosa coz kama hawa jamaa wakiamua kuinvest na kutengeneza alternative ya android basi google watapata pressure sana coz ktk tech hakuna kinachoshindikana tena mbele ya mchina
Sio waki-invest na kuanza kutengeneza, Huawei walishaanza kutengeza OS yao kitambo mara baada ya kuona figisu figusu za Trump haziishi! Na Wachina walivyo fit kwenye tech, it's a matter of time kabla hiyo OS haijawa one of the best, and am sure kampuni zote za Uchina zitatumia hiyo OS na Google kubakiwa na Samsung peke yake kama mtumiaji mkubwa!!
 
Tatizo sio kuwa na OS tatizo ni content za Apps kwenye Gallery yao ya Apps... Playstore na Apple's IOS App store ina gallery ya kutosha ya apps... Hakuna OS inaweza kushindana nazo..
Na hichi ndo sababu kubwa ya Nokia Windows phone kufa
Nakuhakikishia, ndani ya miaka 3, App Store ya Huawei itaizidi App Store ya iPhone ambayo ipo too restrictive to entry! Huawei wakishatengeneza OS inayokubalika tu, developers across the world watajaza apps zao huko! Leo hii Play Store ndiyo yenye apps nyingi zaidi kuliko iOS App Store kwa sababu, mosi hakuna restrictions to entry lakini pili, Android users ni wengi sana duniani! Sasa Am sure Huawei wakishapata OS ya uhakika, kampuni zingine za China zitahamia huko na hivyo kufanya watumiaji wa simu za OS husika kuwa wengi zaidi duniani na hatimae kuvutia developers wengi zaidi kutengeneza apps for Huawei App Store. Kwa mtindo huu, natoa miaka 5 kabla Google hajajikuta amebaki na Samsung na Google Pixel peke yao kama main consumers wa Android!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…