We huwajui? Utasikia panda Kenya airways uone mlima K'njaro, mara Kenya ndo muuzaji mkubwa wa Tanzanite, leo eti ndo wakulima wakubwa wa Parachichi kumbe ni yale wanategemea kukusanya Mbeya, Njombe na Iringa.Maparachichi wanayo
Nasikia mazishi ya SGR yatafanyika naivasha na kuanza kumfufua bi mkubwa waliyemwacha siku mingi.,kweli vitaendana, time will tel
Inawezekana kabisa hii yote ni kazi ya Kabudi....keshawafanyia mbaya Prof. just thinking loud 🙂Ahaaa haaa haaa
Inasikitisha SANA kumpoteza SGR,
Mchina Ametoa, MChina Ametwaa.
Jina la Xi Ping lidumu.
Hivi hii ndio SGR kweli Karne hii full MoshNasikia mazishi ya SGR yatafanyika naivasha na kuanza kumfufua bi mkubwa waliyemwacha siku mingi.,kweli vitaendana, time will tel
Hahaha Watanzania kibokoAhaaa haaa haaa
Inasikitisha SANA kumpoteza SGR,
Mchina Ametoa, MChina Ametwaa.
Jina la Xi Ping lidumu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona Uhuru, Ruto na Raila jasho la mshangao linawatoka.Hivi hii ndio SGR kweli Karne hii full MoshView attachment 1083492
Waambieni kuna kiwanda kimezinduliwa Mbeya cha maparachichi, hiyo deal yao iendelee in paper docWe huwajui? Utasikia panda Kenya airways uone mlima K'njaro, mara Kenya ndo muuzaji mkubwa wa Tanzanite, leo eti ndo wakulima wakubwa wa Parachichi kumbe ni yale wanategemea kukusanya Mbeya, Njombe na Iringa.
Watakusanya kwa nchi jirani hasa tz.Maparachichi wanayo
Kumbe amefariki!?lol.. Apumzike kwa amani.Ahaaa haaa haaa
Inasikitisha SANA kumpoteza SGR,
Mchina Ametoa, MChina Ametwaa.
Jina la Xi Ping lidumu.