Bye bye kiungo mkabaji Jonas Mkude

JONAS MKUDE 'NUNGU NUNGU'.....!
Wachezaji kama Hawa ni nadra sana kuwapata hasa kwenye 'era' ya Sasa..!

Ikitokea amepatikana basi inabidi aheshimiwe sana!

Ameingia Simba akiwa Kijana Mdogo Sana na ameendea kuitumikia Simba kwa Moyo Wake wote pamoja na vipindi vya changamoto mbali mbali alivyopitia!vya furaha na huzuni.

Siku nikipata nauli ....ntakuja Dar na zigo Langu La Korosho kwa ajili ya NUNGU NUNGU'..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…