Bye bye Lamu port

Now your looking for excuse to justify bad deals. When Kenya was busy lobbying the rest of East African to turning against Tanzania, non of you mention hinterland.

I'll believe you is you if you say your a superman of eating githeri without water [emoji23]
 
I guess thats for kenyans to worry about dont u think?
Yes that is for Kenya worry about and I will be Burning The Midnight Oil to make sure them worry even more.
 
Wacha kuota, South Sudan na Kenya ni nchi moja. Mambo ya horn of Africa huyawezi wewe shugulika na SADC.
 
Yes that is for Kenya worry about and I will be Burning The Midnight Oil to make sure them worry even more.
Burn the midnight oil learning English. Wacha kupoteza wakati na mawazo za kijinga.
 
Si nilisikia uliapa kwamba wewe na mbege mmeachana? Jombaa, hata saa nane haijafika bana! Kula samosa sita hapo nje ntakutumia kwa Mpesa. [emoji38][emoji38][emoji38]
Hapo huna hata 100! Maneno yana kutoka tu, hizi ni side effect ya kula samosa za nyama ya paka huku ukishushia chai iliyo changanywa na sukari yenye zebaki.. Mnapata tabu sana
 
Hapo huna hata 100! Maneno yana kutoka tu, hizi ni side effect ya kula samosa za nyama ya paka huku ukishushia chai iliyo changanywa na sukari yenye zebaki.. Mnapata tabu sana
Hahaha! Very funny.
 
Sisi tumekuwa na port moja kwa miaka hamsini. Nyinyi mna port tatu. Shida iko wapi tukijenga port ya pili?
Ili mradi usiwe mtego wa kutegea jirani anaswe na huo mtego haina shida wala kutakuwa hakuna majuto yoyote.

Vv
 
Unafikiri mtasonga peace deal kama ugali mile. You need business, and as it looks, there will be no business for LAPSSET.
if this was the logic, Ethiopia wouldnt have looked for Sudan, Somaliland and Eritrea for a port when they aready have an SGR link to the port of Djibouti. .. Ethiopia is a country of 90 million people.... thats almost the same as the population of Kenya + Tanzania .... how many ports does Tz alone have???? and you want to add bagamoyo... using this concept... how many ports do you think a country like Ethiopia will need in the near future
 
]If you think you can make investment according to Ethiopian population then that will be making another major mistake. Ask yourself this, where are those 90millon people located in Ethiopia, mainly are in central Ethiopia, east and north. No one is in the South same as northern Kenya. It will come a time were Lamu will be too far, too expensive and quite frankly meaningless. Djibouti, Somalia and Eritrea will be enough to run their economy for the next 50yrs

 

Ukiangalia vizuri mambo mengi Kenya inafanya kwa kukurupuka mbio kwenda Uchina, kama baada ya kuskia Bagamoyo port Jamaa wakakurupuka kama SGR wasijue tinawaingiza mkenge!

Wenyewe wanadai waliwahi mkopo was Xi Jinping! Kisirisiri wakasaini mikataba wakaja kuzindua miradi Kwa mbwembwe.

Wasijue tuliwatega, tuka-cancel mkopo wa Mchina wa SGR yetu na pia financing ya Bagamoyo port! SGR tukaamua kujenga wenyewe wakati Bagamoyo port tukamuita Muomani na majadiliano yakaanza upya huku tukipanua bandari zetu tatu.
 
Nakumbuka kuna ule wakati tukakosa ile dili ya bomba la mafuta na Uganda, mlianza kuimba wimbo huu huu mkifikiria lapsset imekufa (wakati uganda hata haiko kwa blueprint ya lapsset) ..

lapset si Lamu port tu, infact Lamu port ilikua ni ijengwe enzi za rais Moi ili kupunguza kazi ya Mombasa, Hata SGR pia ilikua ijengwe enzi hizo (hadi kisumu) lakini ufisadi na uongozi mbaya ikafanya hizi project proposal kutupwa kabatini... Kibaki alivyoingia mamlakani akaitisha funguo za kabati, baada ya kufungua na kuona hizo project proposals zote akaitisha kamati ya ma technocrats (akina Bitange ndemo) akawaambia wakague project zote alafu wazipackage kama document moja ambayo inawezwa fatwa kama blueprint.... Hapo ndo kukazaliwa Vision 2030, ambapo ndani kulikuwa na Konza city, Msa SGR, Lapsset. ..etc.... Project ya lapsset ilipangwa vile ili kuamsha North na north east of Kenya kwasababu wameachwa nyuma kabisa ilhali wako na potential... kwahivyo hio lapsset si ya Ethiopia wala South Sudan, mteja wa kwanza ni Wakenya, (thats why we will never agree to build a pipeline to anywhere but Lamu) Ethiopia as S.Sudan only make the project more vialble, lakini hata bila hao, we still need Lamu port....

ili kukuonyesha kwamba Lapsset lamu port is necessary wacha nikupe Takwimu


Hii ni historical data ya mizigo (import/export) inayopita bandarini Kenya...

Data is in (000, 000)

2010 - 18.934 million tonnes
2011 - 19.953 m
2012 - 21.92 m
2013 - 22.307 m
2014 - 24.875 m
2015 - 26.737m
2016 - 27.365 m tonnes

the average rate of increase for that period is 6.2%

the actual tonnage for 2017 is 30.2 million tonnes but if you use the 6.2% increase estimation x 2016 volume the results is 29.061 tonnes

So using the avg increase of 6.2% year on year, we can project the expectated volume for the near future....

2018 - 30.82 million tonnes
2019 - 32.8m
2020 - 34.81 m
(2020 is when the first berth of lamu port(out of 32) will be completed )

2021 - 36.97m
2022 - 39.26m
2023 - 41.7m
2024 - 44.28 m
2025 - 47.02 m
2026 - 49.94 m
2027 - 53.03m
2028 - 56.32m
2029 - 59.81 m
2030 - 63.53 m
2031 - 67.46 million tonnes of cargo...
2032 - 71.64 m

Lamu port inatarajiwa kukamilika 2030 ikiwa na 32 berths, Mombasa kwa sasa ina capacity ya exactly 30 million tonnes p.a au 1.5million TEUs na iko na 22 berths, the latest berth kuongezwa pale Mombasa ilikua ni juu ya reclaimed land from the sea kwasababu hakuna tena nafasi ya kufanya expansion. ... bado kufya phase 3 ya Mombasa port haijafanywa lakini ikishafanywa the most capacity Mombasa inawezwa fanya ni 2 million TEUs ama 40 million tonnes... hapo itakua imefika mwisho wa expansion kabisaa!
Tena kuna Dongo kundu FEZ/EPZ free trade area ambayo itaku kama ile ya Dubai free port ita strech capacity ya mombasa to the limit..

Hapo ndo Lamu itakuja kuiokoa Mombasa manake kulingana na projection by 2032 tutakua tumeongeza mizigo inayopitia bandarini hadi 71 million tonnes. .. Mombasa itachukua 40m na Lamu 30m au vice versa au wagawanyane sawa sawa ...


Kwavivyo ukiangalia hata bila Ethiopia, Lamu port itakua na atleast 30 million tonnes by 2030 itakapo kamilika.....
Sasa kama Kenya itakua inahitaji capacity ya 71m tonnes by 2030, unafikiri Ethiopia ambayo inakua kwa kasi zaidi ya Kenya itahitaji capacity gani?

Port ya Sudan is the slowest port in- africa mzigo unachukua 22 days, port ya Djibouti haitoshelezi Ethiopia n hawajatangaza mipango ya expansion , Eritrea wamesalimiana na Ethiopia leo lakini port yao ndo ni ndogo zaidi ya leo, hata Somaliland wako na kubwa kuwashinda, - Somaliland nao yao haina mazoea lakini wanamipango ya kuipanua na kupeana umiliki kwa kampuni ya kibinafsi, lakini hio dili itagarimu takriban 400m USD ambayo ni probaly 3 berths kama vile the firat 3 berths za Lamu zinagarimu $400m ... so bandari yao haitakua na capacity ya kutosheleza mahitaji ya 2025.... besides, lamu tayari iko mbele yao, barabara ya kuunganisha Lamu hadi Nairobi na hadi Ethiopia inakamilika mwaka ujao.. in short, hizo nchi nyengine zikifika tutakua tulishafika kitambo!
 
Nyinyi wenyewe mko na ports tatu. Sisi tukijenga ya pili unasema eti ni mbaya. Shida yenu iko wapi? Mbona nyinyi mna ports tatu? Tuwache na amani jameni tujenge yetu ya pili. Mombasa port imekaa hapo miaka zaidi ya arubaini. Wacha angalau hata sisi tuwe na port mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…