my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Watu hamna wema. . . . . .kwani ukiagwa kama hutaki si unaiacha thread tu. . .
All the best uendako. . .
Umenikumbusha kitabu cha "Kusoma" cha darasa la pili enzi hizo elim ni elimu katika kichwa chwa habari kilichosomeka "KUHAMA" tulikuwa tunasimamishwa mmmoja mmoja kusima. Kilianza hivi:
"Kuhama. Mimi na Baba yangu, na Mama yangu, na wadogo zangu na dada yatu tulihama.
Mimi na Baba yangu tulikaa nyuma. (ya roli la mchanga) Mama na dada na wadogo zangu walikaa mbele.
Tuliona miti na milima ikikimbia kurudi nyuma!...."
Wazee wenzangu watakumbuka!