Huyu muongo
Itakuwa mwenye simu kesho anachukua simu yake,kwa hiyo hatutamuona tena JF.
Very sad!
Hivi Canada ndio wapi tena..?..I wanna live and die in Africa..Sinaga shobo na miji ya watuMimi nipo Mars na ninaipata Jf.........nini Canada bana.............
Huyo labda atakuwa amekosea may be anaenda samungeJF ipo hadi Canada ww ukifika gonga
www.jamiiforum.com
Labda ukute kama mitandao inasumbua.
LogicalItakuwa mwenye simu kesho anachukua simu yake,kwa hiyo hatutamuona tena JF.
Very sad!
Haeleweki..Kumbe utakapokua huko hutaweza kuaccess JF bas kila la kheri
Left in peace
Angalia posts zake za majuzWhy unasema ni muongo?
mwny simu nani?Itakuwa mwenye simu kesho anachukua simu yake,kwa hiyo hatutamuona tena JF.
Very sad!
samunge ndo wp?Huyo labda atakuwa amekosea may be anaenda samunge
karbu calgary sirHuyu muongo
nilifka salamaUlifika salama? Hawajambo watu wa Canada?
nini?Kwa hiyo?
hajambo. unamjua?Maa hajambo?
ndio. cku hiz namkimbia sio rafik mzurHuyo Rafiki yako lesbian umekutana nae Canada?
asnte kwa ushaurKasome shule achana na JF wanakukomaza ..wenzako ni DEGREES HOLDERS hatuna kazi ..kazi yetu kubwa kuikosoa serikali JF [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]