Bye bye my Tanzania, bye bye my fellow members, truly gonna miss u


Utakua canada sehemu gani maana hata mimi niko canada niwe mwenyeji wako.

Nipm email yako mtoto mzuri..
 
Humu ndani ni kupigana vikumbo na wanao tu....

Dogo kuhama kwema
 
Nakumbuka sana hii habari ilikuwa wanahama kwenda chalinze hahaaaa zamani sana

Kweli kabisa mkongwe mwenzangu! halafu kunapicha imechorwa Juma na Baba yake wamesimama juubya lori wamepakia magodoro viti meza n.k!

Sasa hapo unaambiwa simama kutoka katika dawati mmekaa watatu, chini huna viatu, kaptura ya kaki nyuma inamatobo nani hakuna pichu afu unasoma neno moja kimoyomoyo kwanza ndio unalitoa kwa sauti!

Maisha ya bushi bwana pamoja na changamoto za wakati ule yalikuwa ya aina yake!
 

Aliyekuambia JF Haipatikani Hata Huko Ni Nani? Acha SHOBO! JF Hata Kwa Sir God ( Mbinguni ) Ipo Available. Tunashukuru Kwa Mashauzi!
 
Mimi nipo Mars na ninaipata Jf.........nini Canada bana.............

Huko mars pia usisahau kusalimia ndugu zangu...wanaishi kijiji kimoja kinaitwa: Yaeda Chini. Ni hayo tu usisahau.
 
Kweli watu wana kumbukumbu.nilisoma darasa la tatu

Zamani tuliweza kuhifadhi vitu kwa kuwa hatukuwa na tv, mivideo au mikomputa gemu! ulichokuwa unasoma ndio kilikuwa movi kwako kichwani (simulation)

Huwezi amini naweza kukusumulia hadithi nzima ya "Mzee Tola anakula gizani akatafuna konokono" bila lukosea hata mstari mmoja! au "Jogoo aliyesema" Unakumbuka lakini?

cc. Lady Jaydee- Natamani kuwa Mtoto
 
Bon voyage my name is my name. Je ni mara yako ya kwanza kupakia ndege na kwenda nje? Hope you enjoy the experience.
 
Last edited by a moderator:
Huko mars pia usisahau kusalimia ndugu zangu...wanaishi kijiji kimoja kinaitwa: Yaeda Chini. Ni hayo tu usisahau.

Wote wazima.......tupo tunaota jua saa hizi..........ni jumanne tulivu leo..........
 
Huko canada kunanetwork ya .....nnn ama ndio canada first tym
 
Mnaenda.mji gan kuna jiji wamejaa wabongo Ukimwi kama magomeni jilinde.mpwa.ikitokea ajali kazini siriyako
 
hehe feelings will be caught. Anyway, kuna home sickness, JF ipo kuipunguza so usiage just yet.
 
Had roho inaniuma sema kweli jamn coz anaondoka jehanam anaenda peponi hongera bna kwa kuihama tz ngoja na sisi tujitahid tuuikimbie

We nae usituchoshe na kilio Chako.
Komaa na ukaze buti hapa hapa Bongo.

Utafanikiwa tu someday.
 
jf raha sana yaani unapata kila kitu furaha,faraja,amani ya moyo baada ya misuguano mbalimbali,pumziko.....safari njema dogo pambana usirudi labda tu urudi ndani ya box
 
Sidhani kulikuwa na haja ya kutumia neno unatuaga sababu hata utakapo kuwa canada utakuwa bado unaweza ku access jamii forum sababu this is an online application,ulicho takiwa kufanya kwenye hii thread ni kutoa taarifa kuwa unahama tz.
pengine alidhani JF inabaki kwenye desktop yake anayoiacha tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…