mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,441
- 431,885
Aisee hii bia ya Serengeti nilikuwa naipenda sana lakini Kwa Sasa Wacha niipe talaka tatu wamekuja na sticker la hovyo kabisa rangi mbaya sana utafikiri ya chama kile chakavu mtakosa mapato msiporudisha sticker ya zamani kiwanda chenu kinaenda kufa kifo Cha Mende