Wana JF. hapa ninapofanyia kazi kuna ISA server na siwezi kudownload files ninazotaka na some sites hazifunguki. Kuna mtu anajua how to bypass the ISA server ?
Tatizo la pili kuna mdogo wangu sijui alifanya nini kwenye computer na sasa maneno kwenye screen yapo upside down. nifanyeje ?
Shy na Invisible nisaidieni kwa haya.
Natanguliza shukrani.