mku yategemea na location uliopo kuna nchi wameblock Youtube mfano...pia angalia pia kuna video kadhaa kwa sababu ya copyright youtube wameondoa sauti...
Jaribu kuinstall version latest ya flash, na unatumia Browser gani?
Jaribu nyingine, kama unatumia Internet Explorer jaribu firefox, kama unatumia firefox jaribu explorer.