C. Ronaldo aandika jina lake kwenye vitabu vya kumbukumbu vya soka la kimataifa

geometry

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
466
Reaction score
358
Ronaldo ameingia kweny orodha ya wachezaji 10 wenye magoli mengi zaidi kwa timu zao za taifa kwa muda wote baada ya kufikisha goli 71
 
Ameshindikana na jamii huyu mtu, mwenzio huko kafungiwa mechi nne na jana wamepigwa 2-0.. hongera CR7 a.k.a one man army..
 
mbona hiyo list ni ya hovyo watu hawaeleweki
 
Anaweza kufikia hata hapo kwa kamamoto sio mbali kwake hongera zake.
 
Huyo Godfrey "ulca "chitalu wazambia kuna wakati walipeleka malalamiko kuwa kwa msimu mmoja alifunga magoli mengi kuliko Messi.
 
Anaeongoza ni muiran..hawa utakuta wanajichezea na palestina mtu anapigwa 10 unakuka mchezaji mmoja kaingia kambani Mara 8..
 
Anaeongoza ni muiran..hawa utakuta wanajichezea na palestina mtu anapigwa 10 unakuka mchezaji mmoja kaingia kambani Mara 8..
CR7 anawanyooshaga akina Andora adi kufikia magoli mengi ivo, neymar jr ni hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…