Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
okay nilikuwa najiuliza kila siku huyu mheshimiwa amesomea fani gani.
Thanks
Jamani ma Great Thinkers
Naomba kuuliza hivi Mheshimiwa Dr Slaa ana udokta wa nini (Fani gani)
Naombeni kufahamu
Ulichouliza ndio ujinga. kwa hiyo umeuliza ujinga.Kuuliza ni ujinga????
inategemea swali!!Kuuliza ni ujinga????
Ulichouliza ndio ujinga. kwa hiyo umeuliza ujinga.
JK ana PhD ya kitu gani?
Ulichouliza ndio ujinga. kwa hiyo umeuliza ujinga.
JK ana PhD ya kitu gani?
:bowl::bowl::bowl:
Doctor of Philosophy (PHD) in Cannon Law
DR SLAA ni Dr wa Kweli kwa kusomea na si wa kupewa!!!! isije ikawa unafikiri udokta wake ni chakupewa!!!!!!!!!!! DR SLAA NI DOKTA WA PHILOSOPHY with Dergees in Theology
PhD ya heshima. amesomea wapi hiyo heshima? na inatusaidia nini sisi?Unaweza kunieleza kwanini ni ujinga?
Kwani sina haki ya kuuliza kwa kile nisichokijua?
JK najua ana PHD ya heshima ambazo hupewa viongozi wengi na watu mashuhuri duniani hata Nyerere anayo. Na ni utaratibu wa vyuo vingi kutoa hizo PHD za heshima wakati wa mahafali.
Yaani umejibu kwa hasira kama aliekuuliza angekuwa karibu na wewe nadhani ungemchapa vibao kumbe ni dokta wa philosophy ya theologia je ameipata wapi roma au?
sijui laki nakumbuka alipata GPA ya 2.1 (kama sikosei) pale mlimani wakati anachukua degree