C.W.T mnakwama wapi kutoa mikopo wezeshi kwa Walimu?

C.W.T mnakwama wapi kutoa mikopo wezeshi kwa Walimu?

thadayo

Senior Member
Joined
Jan 28, 2023
Posts
183
Reaction score
175
ipo wazi kuwa c.w.t Ina mchango mkubwa Sana katika kulinda haki za walimu.hoja yangu ni kwamba kwanini michango inayokusanywa na c.w.t isitumike kutoa mikopo WEZESHI kwa WALIMU ilikuinua ustawi wao.
 
C.w.t ni genge la wahuni tu kaz kula prsa za walimu. Hawana lolote wajualo zaid ya kunprint tshirt na kofia kuwagawia waalimu kila mwaka mara 1. Ni wajinga wajinga tu ambao wanalazimisha waalimu kuwa wanachama. Kama walimu wangepewa fursa ya kuamua, wangejitoa kwenye hiki chama cha kipumbavu
 
Katika miaka mitano iliyopita, CWT ina kitu gani cha kujivunia ilichofanya katika kulinda haki za walimu? Hii ni miaka ambayo tumeshuhudia kusuasua kwa madaraja na haki zingine. Kibaya zaidi, cwt walibariki uwepo wa kikokotoo cha hovyo kwa wastaafu, Hiki kinaumiza walimu kuliko wafanyakazi wengine.

Nakuuliza mtoa mada, unaposema cwt ina mchango mkubwa katika kulinda haki za walimu unamaanisha nini?
 
C.w.t ni genge la wahuni tu kaz kula prsa za walimu. Hawana lolote wajualo zaid ya kunprint tshirt na kofia kuwagawia waalimu kila mwaka mara 1. Ni wajinga wajinga tu ambao wanalazimisha waalimu kuwa wanachama. Kama walimu wangepewa fursa ya kuamua, wangejitoa kwenye hiki chama cha kipumbavu
Hicho chama ni kama mbwa koko ambaye hana faida kwa mfugaji licha ya kumlisha kila siku.
 
Back
Top Bottom