Hicho chama ni kama mbwa koko ambaye hana faida kwa mfugaji licha ya kumlisha kila siku.C.w.t ni genge la wahuni tu kaz kula prsa za walimu. Hawana lolote wajualo zaid ya kunprint tshirt na kofia kuwagawia waalimu kila mwaka mara 1. Ni wajinga wajinga tu ambao wanalazimisha waalimu kuwa wanachama. Kama walimu wangepewa fursa ya kuamua, wangejitoa kwenye hiki chama cha kipumbavu