Cabbage na chines ya karanga

Anita Baby

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
1,265
Reaction score
540
Kuna watu hawapendi mboga hizo lakini ukizipika kwa karanga nina uhakika atazikubali.

Jinsi ya kuandaa;


1.Osha cabege yako kabla ya kukata hii inasaidia isiwe na maji mengi

2. Kata katika sles ndogo ndogo kisha nyunyuzia chumvi alafu isugue hadi iwe laini. kisha katia hoho na carot sles ndogo zinazofanana na cabage alafu zichanganye vizuri.

3. Bandika sufuria kaanga kitunguu lakini kisiungulie kisha tia nyanya zilizosagwa.

4. Acha ziive hadi zikaukie.

5. Kisha tia tui lako la nazi na ukoroge alafu weka karanga zilizosagwa kiasi kinachoendana na mboga endelea kukoroga.

6. Ikianza kuchemka unaweka cabbage ambayo ulichanganyanya hoho kisha funika baada ya dakika koroga kwa kuipindua juju chini kisha funika tena.

7.Epua tayari kwa kula.

Mtanisamehe chinese nitaweka siku nyingine
 
Umenikumbusha my late mama mkubwa akipenda kupika hivyo
 

kuna rafiki yangu mmoja wa kihangaza aapenda cabbage la karangaa!mimi cabbage napenda sana.
 
ulipate cabbage la mafuta na wali uliokolea nazi weee habari yake ndefu!!!

Usisahau cabbage ulchanganye na nyama mama...kitu wali wa nazi pembeni, tena ule mchele robo nazi sabaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…