Cable ya Kibalozi kuhusu Tanzania

Cable ya Kibalozi kuhusu Tanzania

Tokyo40

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
2,065
Reaction score
1,925
Ifuatayo ni mawasiliano ya Ubalozi wa Marekani kuhusu Tanzania.

Katika Cable, kuna mkutano baina ya Waziri Wa Mambo ya Nje Mr. Malecela na Balozi anayehusika na mambo ya Afrika, Mr. Donald Easum, Umoja wa Mataifa, New York mwaka 1974. Pia kulikuwa na Balozi wetu UN, Mr. Chale na Mr. Muganda (sijui cheo chake).

Katika Mkutano huo, Malecela anaomba msaada wa chakula, jenereta, ujenzi wa hospitali na mbolea kusaidia vijiji vya ujamaa.

Pia, anaomba kama Marekani itaweza kutujengea kiwanda cha juisi kama alichokisoma katika gazeti alipokuwa Jamaica kilichojengwa huko Marekani.

Easum alimuahidi atafuatilia maombi ya serikali ya Tanzania katika yote hayo.

Kabla ya mkutano kwisha, Malecela alisema anataka kuona viongozi wa siasa wa Marekani kuja Tanzania na kujionea kwa macho yao jinsi Tanzania ilivyo masikini na inavyokabiliwa na njaa.

Easum alimuahidi kwamba watajaribu kufanya safari kama hizo.

BALOZI EASUM AWASILI TANZANIA

Kwa kifupi, Easum kakutana na Waziri wa Fedha Mr. Msuya, akamwambia kuwa Watanzania watakabiliwa na uhaba wa chakula sehemu nyingi za nchi hata mvua ikinyesha.

Katika mikutano yake yote na Mawaziri tofauti, Easum kapokelewa kwa heshima sana.

Msuya akataarifiwa kuwa Marekani itatoa msaada wa mbegu za mahindi walionunua kutoka Zambia.

Easum pia, alimkumbusha Msuya kuhusu malipo ya shamba la Mmarekani lililotaifishwa huko Kilimanjaro. Mwenyewe anasubiri kulipwa. Msuya kamuahidi kulifuatilia.

Mr. Lusinde, Waziri wa mawasiliano na kazi, katika mkutano wake, aliishukuru serikali ya Marekani kwa kutoa mkopo wa ujenzi wa barabara ya Tanzania-Zambia highway na kusema kuwa wameomba pia mkopo IMF ili waweze kuitunza vizuri kwa pesa hizo.

Katika mkutano na vice counsellor wa UDSM, Mr. Pius Msekwa, Eusum alimuuliza kwa nini amekataza series za "America" za Alistair Cooke kuonyeshwa. Msekwa akamwambia kuwa alibanwa na TYL branch leaders wa UDSM kufanya hivyo.

MWISHO

PS... Cable ni ndefu mno na nimeweka kwa kifupi. Pia, nimetafsiri kwa kifupi.

Naomba watu waliokuweko au kufahamu mambo yaliyosemwa humu wanielimishe zaidi. Nafahamu kuna wanasiasa wengi wanachangia JF.

Full cable ipo wikileaks.org kama unataka kusoma zaidi.

EASUM MEETING WITH TANZANIAN FOREIGN MINISTER
Date:1974 October 1, 22:41
Foreign Assistance |

EASUM, ACCOMPANIED BY AF/E DIRECTOR COOTE, MET FOR ONE HOUR WITH MALECELA, TANZANIAN PERMREP TO UN CHALE AND BERNARD
MUGANDA ON SEPTEMBER 27 AT UN HEADQUARTERS IN NEW YORK.

EASUM WAS WELL AWARE OF TANZANIA'S NEED FOR FOOD, AND WE WERE GIVING GOT'S REQUEST FOR PL-480 ASSISTANCE OUR MOST CAREFUL CONSIDERATION.

MALECELA STRESSED THAT MOST CRITICAL PERIOD FOR FOOD
ASSISTANCE WAS BETWEEN NOW AND APRIL. ANY ASSISTANCE
GIVEN DURING THIS PERIOD WOULD BE HIGHLY APPRECIATED.

ADDITIONAL ASSISTANCE - NOTING IMPORTANCE OF UJAMAA
VILLAGES IN GOT SCHEME FOR DEVELOPMENT OF RURAL AREAS, MALECELA INQUIRED WHETHER US MIGHT PROVIDE FERTILIZER, SMALL ELECTRIC GENERATORS AND/OR CLINICS FOR VILLAGE PROGRAM.

EASUM SAID HE WOULD ASK AID TO STUDY THIS REQUEST.

MALECELA SAID HE HAD READ NEWSPAPER ARTICLE WHILE IN
JAMAICA RECENTLY THAT US HAD DEVELOPED MOBILE FRUIT-CANNING PLANT COSTING ONLY DOLS 80,000.

THIS COULD BE VERY BENEFICIAL TO TANZANIA. EASUM PROMISED TO TRY TO FIND OUT MORE ABOUT PLANT AND GET BACK TO TANZANIANS.

VISITS TO TANZANIA - AS MEETING DREW TO CLOSE, MALECELA SAID HE HOPED MORE US OFFICIALS AND CONGRESSMEN WOULD VISIT TANZANIA TO SEE FOR THEMSELVES HOW POOR
COUNTRY WAS AND HOW BADLY IT NEEDED FOOD ASSISTANCE.
EASUM AGREED AND SAID WE WOULD TRY TO PROMOTE SUCH TRIPS.

SUMMARY REPORT EASUM VISIT TO TANZANIA
Date:1974 November 7, 11:20

DURING OCTOBER 30 - NOVEMBER 2 VISIT TO TANZANIA, ASSISTANT SECRETARY EASUM HAD FORMAL TALKS WITH MINISTERS FINANCE, COMMUNICATIONS AND WORKS, AND COMMERCE AND INDUSTRY AND MET WIDE-RANGE TANZANIANS AT REPRESENTATIONAL EVENTS HOSTED BY FOREIGN
MINISTER MALECELA, AMBASSADOR AND DCM.

TALKS PROVIDED OPPORTUNITY FOR EMBASSY TO REVIEW SEVERAL ITEMS OUTSTANDING WITH KEY TANGOV OFFICIALS AND TO FURTHER CERTAIN U.S. INTERESTS. TANGOV TOOK LEAD IN ARRANGING APPOINTMENTS FOR EASUM AND THOOUGHTOUT VISIT TANZANIAN OFFICIALS WERE CORDIAL.

NEXT MORNING EASUM CALLED ON MINFINANCE MSUYA WHO GAVE HIS ASSESSMENT CURRENT FOOD SITUATION IN TANZANIA,
I.E., FOOD CRITICALLY SHORT IN SEVERAL AREAS AND EVEN WITH
GOOD RAINS NEXT YEAR FARMERS MIGHT NOT PRODUCE ENOUGH FOOD TO FEED ALL TANZANIANS.

MSUYA LISTENED WITH INTEREST TO EXPLANATION BY AMBASSADOR AND AID DIRECTOR OF STATUS TANGOV REQUEST
FOR PL480 ASSISTANCE AND HE WAS MOST APPRECIATIVE TO LEARN OF U.S. HELP IN PURCHASE OF MAIZE SEED FROM ZAMBIA.

EASUM REMINDED MSUYA THAT AMERICAN WHOSE FARM NATIONALIZED YEAR AGO IN KILIMANJARO REGION IS STILL AWAITING COMPENSATION.

MSUYA PROMISED TO CHECK INTO
THIS.

MINCOMMUNICATIONS AND WORKS LUSINDE SAID TANGOV APPRECIATIVE U.S. HELP ON TANZAM HIGHWAY AND HAD APPROACHED WORLD BANK ABOUT MAINTENANCE LOAN TO ASSURE ROAD KEPT IN GOOD
CONDITION.

EARLY MORNING MEETING WITH VICE CHANCELLOR UDSM PIUS MSEKWA WAS CORDIAL, THOUGH EASUM TOOK OPPORTUNITY TO
QUESTION MSEKWA'S DECISION TO FORBID SHOWING ALISTAIR COOKE'S SERIES "AMERICA" AT UDSM.

MSKEWA ADMITTED HE GAVE IN TO
PRESSURE FROM TYL BRANCH LEADERS AT UDSM TO STOP SCHEDULED SHOWING OF SERIES.
 
Ifuatayo ni mawasiliano ya Ubalozi wa Marekani kuhusu Tanzania.

Katika Cable, kuna mkutano baina ya Waziri Wa Mambo ya Nje Mr. Malecela na Balozi anayehusika na mambo ya Afrika, Mr. Donald Easum, Umoja wa Mataifa, New York mwaka 1974. Pia kulikuwa na Balozi wetu UN, Mr. Chale na Mr. Muganda (sijui cheo chake).

Katika Mkutano huo, Malecela anaomba msaada wa chakula, genereta, ujenzi wa hospitali na mbolea kusaidia vijiji vya ujamaa.

Pia, anaomba kama Marekani itaweza kutujengea kiwanda cha juisi kama alichokisoma katika gazeti alipokuwa Jamaica kilichojengwa huko Marekani.

Easum alimuahidi atafuatilia maombi ya serikali ya Tanzania katika yote hayo.

Kabla ya mkutano kwisha, Malecela alisema anataka kuona viongozi wa siasa wa Marekani kuja Tanzania na kujionea kwa macho yao jinsi Tanzania ilivyo masikini na inavyokabiliwa na njaa.

Easum alimuahidi kwamba watajaribu kufanya safari kama hizo.

BALOZI EASUM AWASILI TANZANIA

Kwa kifupi, Easum kakutana na Waziri wa Fedha Mr. Msuya, akamwambia kuwa Watanzania watakabiliwa na uhaba wa chakula sehemu nyingi za nchi hata mvua ikinyesha.

Katika mikutano yake yote na Mawaziri tofauti, Easum kapokelewa kwa heshima sana.

Msuya akataarifiwa kuwa Marekani itatoa msaada wa mbegu za mahindi walionunua kutoka Zambia.

Easum pia, alimkumbusha Msuya kuhusu malipo ya shamba la Mmarekani lililotaifishwa huko Kilimanjaro. Mwenyewe anasubiri kulipwa. Msuya kamuahidi kulifuatilia.

Mr. Lusinde, Waziri wa mawasiliano na kazi, katika mkutano wake, aliishukuru serikali ya Matekani kwa kutoa mkopo wa ujenzi wa barabara ya Tanzania-Zambia highway na kusema kuwa wameomba pia mkopo IMF ili waweze kuitunza vizuri kwa pesa hizo.

Katika mkutano na vice counsellor wa UDSM, Mr. Pius Msekwa, Eusum alimuuliza kwa nini amekataza series za "America" za Alistair Cooke kuonyeshwa. Msekwa akamwambia kuwa alibanwa na TYL branch leaders wa UDSM kufanya hivyo.

MWISHO

PS... Cable ni ndefu mno na nimeweka kwa kifupi. Pia, nimetafsiri kwa kifupi.

Naomba watu waliokuweko au kufahamu mambo yaliyosemwa humu wanielimishe zaidi. Nafahamu kuna wanasiasa wengi wanachangia JF.

Full cable ipo wikileaks.org kama unataka kusoma zaidi.

EASUM MEETING WITH TANZANIAN FOREIGN MINISTER
Date:1974 October 1, 22:41
Foreign Assistance |

EASUM, ACCOMPANIED BY AF/E DIRECTOR COOTE, MET FOR ONE HOUR WITH MALECELA, TANZANIAN PERMREP TO UN CHALE AND BERNARD
MUGANDA ON SEPTEMBER 27 AT UN HEADQUARTERS IN NEW YORK.

EASUM WAS WELL AWARE OF TANZANIA'S NEED FOR FOOD, AND WE WERE GIVING GOT'S REQUEST FOR PL-480 ASSISTANCE OUR MOST CAREFUL CONSIDERATION.

MALECELA STRESSED THAT MOST CRITICAL PERIOD FOR FOOD
ASSISTANCE WAS BETWEEN NOW AND APRIL. ANY ASSISTANCE
GIVEN DURING THIS PERIOD WOULD BE HIGHLY APPRECIATED.

ADDITIONAL ASSISTANCE - NOTING IMPORTANCE OF UJAMAA
VILLAGES IN GOT SCHEME FOR DEVELOPMENT OF RURAL AREAS, MALECELA INQUIRED WHETHER US MIGHT PROVIDE FERTILIZER, SMALL ELECTRIC GENERATORS AND/OR CLINICS FOR VILLAGE PROGRAM.

EASUM SAID HE WOULD ASK AID TO STUDY THIS REQUEST.

MALECELA SAID HE HAD READ NEWSPAPER ARTICLE WHILE IN
JAMAICA RECENTLY THAT US HAD DEVELOPED MOBILE FRUIT-CANNING PLANT COSTING ONLY DOLS 80,000.

THIS COULD BE VERY BENEFICIAL TO TANZANIA. EASUM PROMISED TO TRY TO FIND OUT MORE ABOUT PLANT AND GET BACK TO TANZANIANS.

VISITS TO TANZANIA - AS MEETING DREW TO CLOSE, MALECELA SAID HE HOPED MORE US OFFICIALS AND CONGRESSMEN WOULD VISIT TANZANIA TO SEE FOR THEMSELVES HOW POOR
COUNTRY WAS AND HOW BADLY IT NEEDED FOOD ASSISTANCE.
EASUM AGREED AND SAID WE WOULD TRY TO PROMOTE SUCH TRIPS.

SUMMARY REPORT EASUM VISIT TO TANZANIA
Date:1974 November 7, 11:20

DURING OCTOBER 30 - NOVEMBER 2 VISIT TO TANZANIA, ASSISTANT SECRETARY EASUM HAD FORMAL TALKS WITH MINISTERS FINANCE, COMMUNICATIONS AND WORKS, AND COMMERCE AND INDUSTRY AND MET WIDE-RANGE TANZANIANS AT REPRESENTATIONAL EVENTS HOSTED BY FOREIGN
MINISTER MALECELA, AMBASSADOR AND DCM.

TALKS PROVIDED OPPORTUNITY FOR EMBASSY TO REVIEW SEVERAL ITEMS OUTSTANDING WITH KEY TANGOV OFFICIALS AND TO FURTHER CERTAIN U.S. INTERESTS. TANGOV TOOK LEAD IN ARRANGING APPOINTMENTS FOR EASUM AND THOOUGHTOUT VISIT TANZANIAN OFFICIALS WERE CORDIAL.

NEXT MORNING EASUM CALLED ON MINFINANCE MSUYA WHO GAVE HIS ASSESSMENT CURRENT FOOD SITUATION IN TANZANIA,
I.E., FOOD CRITICALLY SHORT IN SEVERAL AREAS AND EVEN WITH
GOOD RAINS NEXT YEAR FARMERS MIGHT NOT PRODUCE ENOUGH FOOD TO FEED ALL TANZANIANS.

MSUYA LISTENED WITH INTEREST TO EXPLANATION BY AMBASSADOR AND AID DIRECTOR OF STATUS TANGOV REQUEST
FOR PL480 ASSISTANCE AND HE WAS MOST APPRECIATIVE TO LEARN OF U.S. HELP IN PURCHASE OF MAIZE SEED FROM ZAMBIA.

EASUM REMINDED MSUYA THAT AMERICAN WHOSE FARM NATIONALIZED YEAR AGO IN KILIMANJARO REGION IS STILL AWAITING COMPENSATION.

MSUYA PROMISED TO CHECK INTO
THIS.

MINCOMMUNICATIONS AND WORKS LUSINDE SAID TANGOV APPRECIATIVE U.S. HELP ON TANZAM HIGHWAY AND HAD APPROACHED WORLD BANK ABOUT MAINTENANCE LOAN TO ASSURE ROAD KEPT IN GOOD
CONDITION.

EARLY MORNING MEETING WITH VICE CHANCELLOR UDSM PIUS MSEKWA WAS CORDIAL, THOUGH EASUM TOOK OPPORTUNITY TO
QUESTION MSEKWA'S DECISION TO FORBID SHOWING ALISTAIR COOKE'S SERIES "AMERICA" AT UDSM.

MSKEWA ADMITTED HE GAVE IN TO
PRESSURE FROM TYL BRANCH LEADERS AT UDSM TO STOP SCHEDULED SHOWING OF SERIES.

Ngoja waje wataalamu waliokuwepo tupate madini, nime quote tu ili uzi usinipotee uwe ndani ya himaya yangu once tukihitaji reference
 
Nyerere aomba msaada wa chakula kwa Balozi wa Marekani.

Kuna ukame Tanzania na wananchi wanahitaji chakula haraka sana.

Nyerere ameomba tani laki moja ya ngano ije kabla ya mwezi wa Sita 1975, ili kuepuka njaa.

Principal Secretary Nyakyi akamchukua Balozi na kwenda kumwona Nyerere nyumbani kwake, Msasani saa 12.45 jioni.

Balozi kajibu kuwa Marekani iko tayari kutoa tani 20,000 tu na watatoa msaada pia wa milioni moja dola wa mbegu za mahindi watakazonunua kutoka Kenya na Malawi.

Kwa kuwa Nyerere alikuwa na hofu kubwa juu ya ukame na ameomba zaidi na haraka kuliko Marekani ilivyo tayari kutoa msaada, Balozi ameiomba wizara yake Marekani imfikirie zaidi tatizo la wananchi wake na imjulishe haraka ili amjulishe Nyerere matokeo ya ombi lake la kuzidishiwa msaada haraka iwezekanavyo.

MWISHO

Wikileaks.org

PS.. Kama cable ya juu, hii pia nimeifupisha na tafsiri yake pia nimeifupisha.

TALK WITH PRESIDENT NYERERE
Date:1974 November 7

SUMMARY:
NYERERE FEARS OF FAMINE
IN TANZANIA AND HE REQUESTS U.S. SUPPLY TANZANIA 100,000 TONS CORN BY JUNE, 1975.

PRINSEC FOREIGN MINISTRY NYAKYI TELEPHONED ME AT HOME 1800 HOURS NOVEMBER 6 TO SAY PRESIDENT NYERERE WISHED TO TALK TO ME AT 1845 HOURS AT HIS MSASANI RESIDENCE. NYAKYI SAID HE WOULD ALSO ATTEND MEETING.

FIRST, NYERERE SAID HE WANTED TO STRESS TANZANIA'S NEED FOR CORN. IF RAINS POOR NEXT YEAR THERE WOULD BE FAMINE IN COUNTRY.

HE TRYING NOW, THEREFORE, TO OBTAIN ENOUGH CORN TO FORESTALL SUCH SITUATION.

HE HAD HEARD TANGOV
HAD REQUESTED 60,000 TONS CORN FROM U.S. TANZANIA'S NEED WAS FOR 100,000 AT MINIMUM BY END FIRST SIX MONTHS 1975. TANZANIA
NEEDED CORN, NOT RICE OR OTHER GRAINS.

REPLIED U.S. HAD AGREED SUPPLY 20,000 TONS FOOD GRAIN UNDER PL 480 TITLE II. DECISION ON SHIPMENT ADDITIONAL FOOD GRAINS UNDER TITLE I WOULD NOT BE MADE UNTIL DECEMBER.

U.S. ALSO IS SUPPLYING ABOUT ONE MILLION DOLLARS FOR SEED CORN TO BE PURCHASED IN MALAWI AND KENYA.

NEVERTHELESS AGREED TO FORWARD TO WASHINGTON NYERERE'S DEEP PERSONAL WORRY ABOUT FOOD SITUATION FACING TANZANIA AND TO
INQUIRE ONCE AGAIN IF THERE IS ANY WAY U.S. COULD HELP
TANZANIA OBTAIN CORN BEFORE END FIRST SIX MONTHS 1975.
DEPARTMENT'S REVIEW AND ADVICE THIS MATTER FOR RELAY TO NYERERE WILL BE APPRECIATED.
 
Mbona mwaka 1975 records zinaonyesha Tanzania hakukua na njaa?
 
Mbona mwaka 1975 records zinaonyesha Tanzania hakukua na njaa?

I know. That's the interesting part. Cable mbili na viongozi watatu (Msuya, Malecela na Nyerere) wanaongelea njaa. Na cable ya Nyerere anaonekana na hofu sana.

Labda:

1. Ni trick ya kupata msaada haraka?
2. American propaganda kuponda ujamaa?
3. Kuna njaa katika sehemu fulani tu ya nchi?
 
1974 kulikuwa na njaa, may be athari za njaa bado zilikuwa mpaka mwanzoni mwa 1975
 
Nchii hii sera ya ujamaa mwlm ikimshinda kumbe ae alikiwa anaomba msaada duuh
 
Mwaka 1974 kulikuwa na ukame mkali sana. Hivyo sishangai kama mwaka 1975 kulikuwa na njaa-maana mwaka 1974 wakulima hawakupata mavuno mazuri. Kinachonishangaza ni kauli za kinyonge za viongozi wetu-kumbe umatonya umeanza muda mrefu sana. Hii mentality lazima ife, haiwezekana kila rais tunayekuwa nae anaendeleza strategy ya unyonge na kuomba 50yrs down the road.

Kuomba ni aibu. Anayemlipa mpiga zumari, ndiye anayechagua wimbo. Ajabu viongozi wetu wanajifanya wanang'aka wanapopangiwa masharti na wazungu wakati kila leo wanapiga mizinga hata kwa vitu tunavyoweza kujitosheleza. Nakumbuka mwezi mmoja umepita pale JK alivyojifanya mkali dhidi ya wahisani kwa kusema hii nchi ina heshima yake, haiwezi kupelekeshwa na wahisani. Ajabu ndiye rais anayeongoza Afrika kwa kushinda nje ya nchi yake kuomba vibaba.
 
Huko nyuma kuna wachangiaji wengi waliandika Nyerere sijui hatii amri ya mabepari au IMF. Hapo tunaona Balozi wa Marekani yupo Msasani tena baada ya masaa ya kazi, anaombwa msaada wa chakula.

Pia, barabara zinatengenezwa na msaada wa Marekani.

Hata pesa ya maintenance ya barabara hatuna, tunakopa IMF.

Kuna vitu vingi vya aibu hama hivi tulifichwa miaka ya Nyerere, ila leo, kidogo uhuru upo wa kutoa maoni au kupinga usichokipenda katika uongozi au tabia ya viongozi wetu.

Na mitandao inasaidia sana kuupeleka ujumbe wa mpiga kura kwa viongozi wetu. Wanajua tupo macho siku hizi.

Nakubaliana na wewe, kuomba misaada ni aibu, hasa vitu vya thamani ndogo, kama gari la mgonjwa (huku mwombaji anatembelea la kifahari).
 
Cable hii inaonyesha vyama vya upinzani vya Jamaica havijapendezwa na mualiko wa Waziri Mkuu wa Jamaica wa Nyerere kuhutubia katika mkutano wa chama kinachotawala cha PNP cha Mr. Manley.

Vyama vya upinzani vimesema kuwa Nyerere atakuwa anaingilia siasa za Jamaica akihutubia chama tawala kwa kuwa yeye ni Kiongozi wa nchi nyingine na itasaidia kuifanya chama tawala kuonekana bora zaidi wakati wa uchaguzi.

Vyama vya upinzani vyote vimekataa kuhudhuria mikutano hiyo hata baada ya kukaa na Manley kujaribu kupata zuluhisho na hata baada ya kuifanya ziara ya Nyerere kutoka "state visit- ziara ya kiserikali" na kuwa " official visit - ziara rasmi.

Waziri wa zamani, Mr. Bustamante piya alikataa kuonana na Nyerere.

Baraza la Makanisa la Jamaica limeiomba serikali kutoa mwaliko Nyerere ili asihutubie Congress ya PNP na vyama vya upinzani visigome kuhudhuria ili Nyerere asiaibike kama mgeni wa Jamaica.

Viongozi wa upinzani wingine wametangaza kuondoka nchini kwa kikazi wakati wa ziara ya Nyerere ili wasionane nae inasemekana. Pia, vyama vya upinzani havina nguvu na kuogopa ziara hii itawakosesha kura zaidi.

Serikali ya Marekani inaamini kuwa Manley hana nia ya kuifanya Jamaica kuwa na chama kimoja cha utawala kitu ambacho vyama vya upinzani vinadai ndiyo ni nia yake kubwa huko mbele.

Manley anafikiri kuwa vyama vya upinzani wanamwamini kisirisiri kuwa hana nia ya kuifanya Jamaica kuwa na nchi ya chama kimoja cha siasa.

MWISHO

Nimefupisha cable na tafsiri.

Wikileaks.org

NYERERE VISIT STIRS CONTROVERSY
Date:1974 September 14

PM MANLEY'S INVITATION AND PRESIDENT NYERERE'S
ACCEPTANCE TO ADDRESS ANNUAL CONGRESS OF RULING PNP DURING VISIT SEPT 14-17 HAS RESULTED IN ANNOUNCED
BOYCOTT OF VISIT BY BOTH OPPOSITION PARTIES.

JLP LEADER SHEARER HAS CHARGED THAT ADDRESS TO CONGRESS CONSTITUTES "INTERFERENCE AND INVOLVEMENT BY HEAD OF
FOREIGN STATE IN DOMESTIC POLITICAL AFFAIRS OF COUNTRY"
AND THAT GOJ IS USING VISIT TO BOLSTER ITS POLITICAL
BASE, THE PNP.

MANLEY'S ATTEMPT TO MOLLIFY CRITICS BY DOWNGRADING VISIT FROM STATE TO OFFICIAL HAS BEEN DISMISSED BY OPPOSITION AS "SUBTERFUGE, POLITICAL SOPHISTRY, AND SEMANTIC SLIGHT OF HAND".

FORMER PM BUSTAMANTE HAS
ADDED COAL TO FIRE BY ANNOUNCING HE NO LONGER WILLING TO MEET WITH NYERERE BECAUSE OF "PRESIDENT'S INVOLVEMENT IN JAMAICA'S PARTY POLITICS".

JAMAICA COUNCIL OF CHURCHES (JCC) GOT INTO ACT LAST WEEK WHEN IT CALLED ON GOVERNMENT TO WITHDRAW
INVITATION FOR NYERERE TO ADDRESS PNP CONGRESS AND
URGED OPPOSITION TO CALL OFF BOYCOTT AND THUS SAVE
PRESIDENT EMBARRASSMENT WHILE GUEST IN JAMAICA.

MEANWHILE LABOR AND OPPOSITION LEADER SHEARER HAS ANNOUNCED HE WILL LEAVE TOMORROW ON TWO WEEK VISIT TO WASHINGTON ON "UNION BUSINESS".

COMMENT: ONE ASPECT OF THE VISIT CONTROVERSY IS THE FEAR OF A WEAK AND DIVIDED OPPOSITION THAT JAMAICA
MIGHT BE DRIFTING TOWARD A ONE-PARTY STATE, DESPITE
MANLEY'S PROTESTATIONS TO THE CONTRARY.

EMBASSY CONSIDERS MANLEY PERFECTLY SINCERE WHEN HE
SAY HE HAS NO INTENTION OF MOVING TO ONE-PARTY STATE
AND SUSPECTS MANY OF THE OPPOSITION SECRETLY
BELIEVE HIM AS WELL.
 
Cable hii inaonyesha Ubalozi wa Marekani kuongelea hotuba ya Nyerere redioni iliyozungumzia kwa kirefu ukosaji wa vyakula unayoikabili Tanzania hasa ngano, mchele na unga wa mahindi.

Ametowa sababu ya uhaba kama uzambazaji mmbovu wa vyakula ndani ya nchi na kutonyeesha kwa mvua ya kutosha katika badhi ya sehemu ya nchi.

Ameelezea kuwa serikali inayakabili uhaba huo kwa kuagiza chakula nchi za nje.

Unga wa mahindi:

Tani elfu 10 imeagizwa kutoka Malawi.

Tani 2500 kutoka Kenya (haijaweza kunununua tani 25,000 kama ilivyopanga)

Anaangalia uwezekano wa kuagiza tani elfu 30 kutoka Zambia.

"Tani elfu 30 kutoka Marekani" ipo njiani mwezi ujao au wanne.
(Hapa Ubalozi inatilia mashaka, pengine "tani" hizo ni tofauti na maelewano ya serikali ya Marekani).

Mchele:

Tani 10,000 kutoka China.
Tani 2500 inawasili mwezi wa tatu, katikati.

Unga wa ngano:

Tani elfu 10,000 umeagizwa Uholanzi na utawasili mwezi wa tatu.

Tani elfu 30,000 umeagizwa kutoka Australia. Pia utawasili muda huo.

Uhaba wa unga wa ngano ndiyo mkubwa zaidi, na hali si nzuri.

Viongozi wa juu wa National Milling Corporation watabadilishwa na kuletwa viongozi wenye sifa nzuri kama Mr. H.R. Shekilango na Mr. Edward Barongo.

Ubalozi unafikiri kuwa Nyerere yupo sahihi sana kwa kusisitiza kukabiliana na shida hii ya uhaba wa chakula madukani, nchini kote, na hasa Dar.

Kuna foleni kubwa ya watu wakisuburi hivi vyakula madukani na mara nyingi polisi hulazamika kutumiwa kukabili fujo na kulinda amani.

Ubalozi unafikiri kuwa uhaba wa vyakula hivi ni mkubwa kutokana na wananchi kukataa kula mihogo au kutumia unga wake badili ya ngano.

MWISHO

Nimefupisha cable na tafsiri.

Wikileaks.org

NYERERE MAKES NATIONWIDE ADDRESS ON FOOD SHORTAGES
Date:1974 February 9, 09:20

PRESIDENT NYERERE ANNOUNCED FEBRUARY 7 THAT HE WOULD MAKE NATIONWIDE RADIO ADDRESS FOLLOWING DAY. SUBJECT MATTER WAS NOT
ANNOUNCED. SUCH SPEECHES DO NOT FIT NYERERE'S NORMAL NODUS OPERANDI.

HOUR-LONG SPEECH, WHICH WAS GIVEN BEFORE NUMEROUS SENIOR TANZANIAN OFFICIALS IN ADDITION TO WORKING-LEVEL TANU PERSONNEL, DEALT SOLELY WITH FOOD SHORTAGES IN TANZANIA AND PARTICULARLY IN
DAR ES SALAAM.

NYERERE GAVE DETAILED EXPLANATION FOR SHORTAGES OF
THREE KEY FOOD PRODUCTS--MAIZE, RICE, AND WHEAT/FLOUR.

HE SAID MAJOR REASONS FOR SHORTAGES ARE POOR INTERNAL DISTRIBUTION AND INSUFFICIENT RAIN IN NORTHERN PART OF TANZANIA.

NYERERE SAID TANGOV IS MAKING MAJOR EFFORT TO RECTIFY SITUATION, PRIMARILY BY IMPORTING CROPS AS FOLLOWS:

MAIZE--10,000 TONS FROM MALAWI

2,500 TONS FROM KENYA (TANZNAIA HAD EARLIER HOPED TO PURCHASE 25,000 TONS FROM KENYA)

EXPLORING POSSIBILITY
OF 30,000 TONS FROM ZAMBIA

QUOTE 30,000 TONS ARE EXPECTED FROM
US BY NEXT MONTH OR APRIL UNQUOTE

RICE--10,000 TONS HAVE BEEN ORDERED FROM PRC AND
FIRST CONSIGNMENT OF 2,500 TONS IS EXPECTED IN MID-MARCH.

WHEAT--(NYERERE SAID SITUATION HERE IS CRITICAL) 10,000 TONS
OF WHEAT FOUR HAVE BEEN ORDERED FROM HOLLAND WITH FIRST CONSIGNMENT EXPECTED MARCH 7;

FIRST CONSIGNMENT OF 30,000 TONS GRAIN WHEAT FROM AUSTRALIA IS EXPECTED BY MID-MARCH.

NYERERE ANNOUNCED EARLIER IN DAY SHAKEUP AT NATIONAL MILLING CORPORATION (NMC), WHICH AMONG OTHER FUNCTIONS HANDLES MILLING OF
WHEAT FLOUR.

TWO HIGHLY REGARDED CIVIL SERVANTS--H.R. SHEKILANGO,
FORMER REGIONAL DEVELOPMENT DIRECTOR IN IRINGA, AND EDWARD BARONGO,
FORMER EXECUTIVE CHAIRMAN OF TANZANIA PETROLEUM BOARD--WERE PLACED
IN TOP POSITIONS AT NMC.

COMMENT: EMPHASIS GIVEN BY NYERERE TO FOOD SHORTAGE SITUATION ACCURATELY REFLECTS SERIOUSNESS OF PROBLEM IN CERTAIN PARTS OF
TANZANIA, PARTICULARLY DAR ES SALAAM.

LONG LINES EXIST FOR ABOVE
STAPLES AND SOME OTHER ITEMS IN DAR ES SALAAM.

IT IS SOMETIMES NECESSARY TO STATION POLICEMEN AT RETAIL OUTLETS TO MAINTAIN ORDER.

PART OF PROBLEM, HOWEVER, IS RELUCTANCE BY PEOPLE TO
SWITCH TO OTHER AVAILABLE FOODS SUCH AS CASSAVA.
 
Huko nyuma kuna wachangiaji wengi waliandika Nyerere sijui hatii amri ya mabepari au IMF. Hapo tunaona Balozi wa Marekani yupo Msasani tena baada ya masaa ya kazi, anaombwa msaada wa chakula.

Pia, barabara zinatengenezwa na msaada wa Marekani.

Hata pesa ya maintenance ya barabara hatuna, tunakopa IMF.

Kuna vitu vingi vya aibu hama hivi tulifichwa miaka ya Nyerere, ila leo, kidogo uhuru upo wa kutoa maoni au kupinga usichokipenda katika uongozi au tabia ya viongozi wetu.

Na mitandao inasaidia sana kuupeleka ujumbe wa mpiga kura kwa viongozi wetu. Wanajua tupo macho siku hizi.

Nakubaliana na wewe, kuomba misaada ni aibu, hasa vitu vya thamani ndogo, kama gari la mgonjwa (huku mwombaji anatembelea la kifahari).

Ahsante mkuuu ninachoona ni kuwa matatzo ya kufel nchii yameanza kabla ya vita ya amini nahisi mwlm alipojiingiza kwenye vita ndio hali ikawa mbaya zaidi
 
Cable hii inazungumzia ziara ya Waziri J. P. Pronk wa Uholanzi, nchini Tanzania mwezi wa tatu, 1974.

Pronk ni Waziri wa Maendeleo na Ushirikiano. Ziara ilikuwa ya siku 5.

Pronk amesema Uholanzi itatenga 1.2% la pato la taifa (GNP) kwa ajili ya kutoa misaada ifikapo 1976.
Sasa hivi inatoa 0.7% ya pato la taifa kama msaada kwa nchi masikini.

Uholanzi itaipa dola milioni 4-5 makundi ya ukombozi ya Afrika mwaka 1974. Makundi haya mengi ni yale yanayopigania uhuru kutoka Ureno.

Uholanzi inataka Ureno kuacha kutawala na kutoka Afrika.

Pronk alifanya mazungumzo na Nyerere, Kawawa, Jamal, Msuya na Malecela.

Maongezi na serikali ya Tanzania yalihusu hasa namna Uholanzi itakakavyosaidia nchi masikini na kusaidia makundi yanayopigania uhuru dhidi ya Ureno.

Uholanzi inaipa Tanzania msaada wa dola milioni 6-7 kila mwaka na inategemea kupanda zaidi miaka ya mbele.

Pronk pia alifanya mazungumzo na makundi yanayopigania uhuru Afrika kama Frelimo (Msumbiji), MPLA (Angola) na Kamati la Ukombozi la Afrika (ALC).

Mwaka 1973, Uhohanzi ilitoa msaada wa $200,000 tu kwa shughuli za ukombozi wa nchi za Kiafrika, na pesa yote walipewa Taasisi ya Elimu iliyo chini ya Frelimo.

Mwaka 1974, makundi ya ukombozi yametengewa dola milioni 4-5.

Pronk amesema kuwa kiasi cha pesa watakachopewa kila kundi itatangazwa baada ya miezi miwili. Pesa hizi ni msaada wa kibinadamu na kusaidia ujenzi katika ardhi zilizokombolewa na makundi hayo.

Ubalozi haujashangazwa makundi ya ukombozi ya Afrika Kusini kutotajwa kwa kuwa pengine hamna ardhi "iliyokombolewa" huko bado.

Serikali ya Uholanzi haitatoa misaada ya kijeshi.

Pronk amesema kuwa serikali yake inaongea na nchi za Skandinavia zenye fikra moja za kuondoa ukoloni wa Ureno Afrika na kuongea na nchi rafiki wa Ureno, Marekani, kuhusu swala hilo pamoja na nchi nyingine.

Pia, alisema wanalizungumzia swala hili Ulaya. Ufaransa, Ujerumani Magharibi na serikali mpya ya Uiingereza haipendelei tens Ureno kuwa na makoloni Afrika. Uholanzi inafikiri nchi za Ulaya Magharibi zitabadili sera zake na kupinga ukoloni Afrika.

Pronk amesema nchi yake haitaipa ruhusa Ureno kutumia ujuzi kutengeneza ndege za kijeshi za Fokker ambazo Ureno zinazutumia katika vita nchi za Afrika. Na amesikitika hawezi kuzuia ndege za kizamani za nchi yake kutumiwa na Ureno.

Ubalozi unafikiri kuwa Uholanzi wanataka kuwa mstari wa mbele kuongoza nchi za Ulaya Magharibi kuipa presha Ureno ili iondoke katika makoloni yake Afrika.

MWISHO

Cable na tafsiri nimefupisha.

Wikileaks.org

SUMMARY: DURING VISIT TO TANZANIA, DUTCH MINISTER FOR DEVELOPMENT COOPERATION SAID :

(A) NETHERLANDS EXPECTS TO MAKE AVAILABLE 1.2 PERCENT OF ITS GNP FOR FOREIGN AID BY 1976

(B) WILL PROVIDE 4-5 MILLION DOLLARS TO AFRICAN LIBERATION GROUPS ALMOST ENTIRELY CONFINED TO GROUPS OPERATING IN PORTUGUESE TERRITORIES, IN CALENDAR YEAR 1974

(C) IS WORKING TO GET
PORTUGAL OUT OF AFRICA

AFTER DISCUSSIONS WITH PRESIDENT NYERERE, PRIME MINISTER KAWAWA, FOREIGN MIN. MALECELA, FINANCE MINISTER OSUYA, AND COMMERCE & INDUSTRIES MINISTER JAMAL DURING HIS FIVE-DAY VISIT TO TANZANIA.

DUTCH AID TO TANZANIA NOW
TOTALS 6-7 MILLION DOLLARS PER YEAR AND SUM IS EXPECTED TO INCREASE IN COMING YEARS.

DURING VISIT PRONK HELD DISCUSSIONS WITH
OFFICIALS OF MOZAMBIQUE LIBERATION FRONT (FRELIMO), POPULAR MOVEMENT FOR LIBERATION OF ANGOLA (MPLA), AND AFRICAN LIBERATION COM-
MITTEE (ALC).

IN CALENDAR YEAR 1973 NETHERLANDS PROVIDED
ONLY 200,000 DOLLARS FOR AFRICAN LIBERATION, ALL OF IT TO
MOZAMBIQUE INSTITUTE, EDUCATIONAL ARM OF FRELIMO.

DUTCH BUDGET FOR CALENDAR 1974 CONTAINS ALLOCATION FOR 4-5 MILLION DOLLARS FOR LIBERATION GROUPS.

BREAKDOWN FOR VARIOUS GROUPS WILL BE ANNOUNCED
IN ABOUT TWO MONTHS. PRONK EMPHASIZED, HOWEVER, THAT MONEY WILL BE USED FOR HUMANITARIAN DEVELOPMENT, AND RECONSTRUCTION PURPOSES

"TO BENEFIT PEOPLE LIVING IN LIBERATED AREAS".

NOT SURPRISINGLY, SOUTH AFRICAN LIBERATION GROUPS WERE NOT MENTIONED.

HE ALSO RULED OUT PROVISION
OF MILITARY AID.

POLICY TOWARDS PORTUGAL: WHEN ASKED WHAT NETHERLANDS IS DOING TO GET PORTUGAL OUT OF AFRICA, PRONK SAID HIS COUNTRY IS
ENGAGED IN 4-STAGE PROGRAM.

(A) WE HAVE BEGUN TALKS SCANDINAVIAN NATIONS, AIMED AT BRINGING PRESSURE
AGAINST PORTUGAL.

(B) WITHIN CONTEXT OF EEC, WE HAVE DISCUSSED PROBLEM OF PORTUGUESE AFRICAN TERRITORIES.

(C) WE HOPE TO COMBINE
THESE EFFORTS WITH DISCUSSIONS AMONG DEVELOPING COUNTRIES.

(D) WE MUST DISCUSS SITUATION WITH U.S WHICH HE EARLIER DESCRIBED AS "VERY FRIENDLY PARTNER OF PORTUGAL".

HE EXPRESSED OPTIMISM ON
PSSSIBLE CHANGES OF POLICY BY WEST EUROPEANS.

SAID SERIOUS DISCUSSION IS GOING ON IN WEST GERMANY.

FRANCE IS LESS SYMPATHETIC
WITH PORTUGAL NOW.

NEW GOVERNMENT IN UK MAY BRING ABOUT CHANGE
IN POLICY.

IN RESPONSE TO QUESTION, HE DEPLORED FACT THAT DUTCH
BUILT FOKKER AIRCRAFT ARE BEING USED BY PORTUGUESE IN AFRICAN WARS.

EMPHASIZED NETHERLANDS WILL NOT LICENSE EXPORT OF THESE
AIRCRAFT FOR USE IN TERRITORIES BUT SAID HIS COUNTRY IS UNABLE
TO PREVENT SALES BY OTHER PARTIES OF USED FOKKER AIRCRAFT.

JUDGING BY PRONK'S COMMENTS, DUTCH ALSO APPEAR TO BE OUT IN FRONT OF
WESTERN EUROPEANS IN BRINGING PRESSURE AGAINST PORTUGAL'S AFRICAN TERRITORIES.
 
Cable inaonyesha jinsi gani serikali ya Nyerere inavyotegemea misaada na mikopo kutoka nchi za Ulaya Magharibi.

Waziri Mkuu wa Finland, Ahti Karjalainen kaja Tanzania, 1974.

Finland inaipa msaada Tanzania mkubwa kuliko nchi yoyote.

Cable inaonyesha Malecela akimshukuru Ahti kwa misaada kwa Tanzania na vikundi vinavyopigania uhuru Afrika vya Msumbiji na sehemu nyingine.

Mwaka 1974, Finland imetoa msaada wa milioni 9.5 kwa Tanzania.

Ahti pia alitangaza mkopo wa maendeleo wa dola milioni 2.5.

MWISHO

Cable na tafsiri nimefupisha

Wikileaks.org

FINNISH FOREIGN MINISTER VISITS TANZANIA

Date:1974 February 15, 11:12 (Friday)

SUMMARY: FINNISH FOREIGN MINISTER AHTI KARJALAINEN HAS JUST COMPLETED 6-DAY OFFICIAL VISIT TO TANZANIA.

TALKS WITH PRESIDENT NYERERE, SENIOR TANZANIAN OFFICIALS, AND LIBERATION ORGANIZATIONS
CENTERED ON BILATERAL AID TO TANZANIA, WHERE FINLAND HAS ITS LARGEST PROGRAM, AND SUPPORT FOR LIBERATION GROUPS.

FINISH FOREIGN MINISTER AHTI KARJALAINEN VISITED TANZANIA
FEBRUARY 8-14.

HE HELD TALKS WITH PRESIDENT NYERERE, FOREIGN MINISTER
MALECELA, OAU AFRICAN LIBERATION COMMITTEE (ALC) SECRETARY-GENERAL MBITA, AND MOZAMBIQUE LIBERATION FRONT (FRELIMO) VP DOS SANTOS.
HE ALSO GAVE KEY SPEECH AT UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM.

AT DINNER IN HONOR OF KARJALAINEN, FON. MIN. MALECELA PRAISED
FINNISH EFFORTS "IN PROVIDING POLITICAL AND MATERIAL SUPPORT TO AFRICAN LIBERATION MOVEMENTS".

MALECELA EXPRESSED APPRECIATION FOR FINNISH BILATERAL AID.

KARJALAINEN, IN RESPONSE TO MALECELA, SAID FINLAND "CANNOT ACCEPT COLONIAL POLICY AND FIRMLY URGES PORTUGAL TO GIVE FREEDOM
TO ITS AFRICAN COLONIES SO THAT PEOPLES IN ANGOLA, GUINEA-BISSAU AND MOZAMBIQUE BE GRANTED THEIR INALIENABLE RIGHT TO SELF-DETERMINATION AND INDEPENDENCE."

HE CONDEMNED APARTHEID IN SOUTH AFRICA, URGED SPEEDY SELF-DETERMINATION FOR NAMIBIA, AND SUPPORTED
SECURITY COUNCIL EFFORTS TO WORK OUT MEASURES BY WHICH SANCTIONS "AGAINST ILLEGAL REGIME IN RHODESIA CAN BE MADE EFFECTIVE".

IN KEY SPEECH AT UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM, KARJALAINEN SAID FINLAND IS GIVING ASSISTANCE TO AFRICAN LIBERATION MOVEMENTS THROUGH THREE CHANNELS:

UN AND ITS SPECIALIZED AGENCIES, OAU,
AND DIRECT TO LIBERATION ORGANIZATIONS.

ONLY HUMANITARIAN AID IS
GIVEN.

CONCERNING AID TO TANZANIA, KARJALAINEN HIGHLIGHTED FACT THAT FINLAND'S BIGGEST AID PROGRAM IS IN TANZANIA.

IN 1974 FINLAND PLEDGED 9.5 MILLION DOLLARS TO TANZANIA.

HE ALSO ANNOUNCED NEW
DEVELOPMENT LOAN VALUED AT 2.5 MILLION DOLLARS.
 
Back
Top Bottom