Nime google online ina port 4 za HDMI na pia ina composite kwa ajili ya port za Kizamani za av.
Ahsante Mkuu, TV ni hiyo hiyo,Nime google online ina port 4 za HDMI na pia ina composite kwa ajili ya port za Kizamani za av.
Cheki TV kama yako
Hapo kwenye plastic nyeusi sio kwamba wamechomoa saketi iliokuwa na port?
Na hii ndio one connect ni extension ya ports nayo toka huo waya wa one connect
Jaribu kwenda Uhuru na msimbazi pale na picha kwenye mitumba,Ahsante Mkuu, TV ni hiyo hiyo,
Ila hapo kwenye composite ya Kwanza juu hiyo ndefu pamezibwa, cheki picha pale juu, imebaki za chini hizo nne, Na hapo palipoandikwa HDMI ukibandua hiyo stika hakuna tundu lolote.
Hiki kidude ndo nakitafuta Mkuu
Imeandikwa hapo nyuma kwenye sticker 215W,Duh,
Aisee. Ni unazijua hizi au jinsi ulivyoiona?