Caesar Manzoki Ajiunga na Dalian Pro

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Mshambuliaji Cesar Manzoki amejiunga na Dalian Pro FC inayoshiriki Ligi Kuu nchini China akitokea Vipers ya Uganda

#mwanaspoti
#mwanaspotiupdates
#tunawezeshataifa
 
Kwa drama zilizokuwa zinaendelea hata sisi mashabiki wa Simba tukaona heri Simba iachane naye tu, ni vizuri kapata timu na imejulikana ,sasa Simba wawekeze akili kuwanoa hawa waliokuwa nao .
 
upande mwingine wenye akili ni wawili tu Nye wengine matahira
Bora huko Yanga wenye akili ni wawili tu, kule Simba wote ni mbumbumbu yaani hamnazo kuanzia mo mpaka mashabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…