Zaidi ni rushwa ya Morocco kwa viongozi wa CAF wakiongozwa na Motsepe.Je kuna taarifa zaidi?
Hilo sio kubwa kama kumbadilisha mshindi wa afcon...Motsepe ameshussha sana hadhi ya CAF. Wakati Yanga wanayimwa goli ha;lali dhidi ya timu yake hakufanya lolote.