Leo umetuangusha sana boss.acha tu mkuu. hii Simba itakuja kuniua
Refa kawasaidia kuna penati ya kabla ya hiyo alipata, offside nyingi zilizokuwa siyo halaliRefa kawabeba wapi? kama penati ya Nyoni ilikuwa halali, kwanini beki amshike Kapombe mkono ndani ya penati box? kama ile faulu ingekuwa katikati ya uwanja msingelalamika, ila kwasababu imesababisha penati ndio mnapiga kelele.
Mjifunze kupongeza panapostahili muache majungu yenu ya kibongo.
Kwenye ushindi hakukosi kelele hasa hapa kwetu tzRefa kawasaidia kuna penati ya kabla ya hiyo alipata, offside nyingi zilizokuwa siyo halali
Sub ya Ndemla akaingia Ame ile ndio imewakatisha tamaa PlatinumKwa kweli ni furaha kwa mashabiki wa simba sc na nchi kwa ujumla.....ila kusema kweli jamani ile penalti ya nyoni au lile goli la kwanza kama huna uzoefu unaweza kukosa kwa presha hata kama ni hodari wa kupiga penati...bwalya leo kacheza sana ila cha muhimu ni kuwa tena kwa herufi kubwa kabisa WACHEZAJI WAZAWA HASAHASA VIUNGO NA WASHAMBULIAJI WANATAKIWA WAJIFUNZE KUTOKA KWA HAWA WACHEZAJI WA KIGENI MFANO KAMA HAWA WA SIMBA.......
Hahahhaa!umejitegesha nini mkuu?Nisipokuwa makini leo inaweza kuwa mwanzo wa kunywa pombe
Tuwape uraia kwa mugabee,watuache na nchi yetuKuna watu wamenuna utadhani wao ndio platnum.
Kwanza hata kabla ya hiyo penati kulikuwa na penalty nyingine ambayo Mwamuzi aliifunika. Miquissone alikuwa kwenye box akiufukuzia mpira kisha beki mmoja akampiga kiwiko na kumwangusha. Dogo alilalamika sana kwa kitendo kile cha mwamuzi kuifunika penalty ile, ambayo ilikuwa ya wazi zaidi kuliko hata ile ya pili.Refa kawabeba wapi? kama penati ya Nyoni ilikuwa halali, kwanini beki amshike Kapombe mkono ndani ya penati box? kama ile faulu ingekuwa katikati ya uwanja msingelalamika, ila kwasababu imesababisha penati ndio mnapiga kelele.
Mjifunze kupongeza panapostahili muache majungu yenu ya kibongo.
[emoji120][emoji120]Pongezi kwenu watani wa jadi.
Acha uong.....wewe ni mlevi mbwa, nakujua vizuri tu kuanzia ulipokuwa ukiishi pale misigiri hadi mara ya mwisho nakuona Tabora kwenye harusi ya jamaa yetu mmoja Wa Temesa sasa hivi yupo wizara ya fedha.Nisipokuwa makini leo inaweza kuwa mwanzo wa kunywa pombe
Mkuu subiri unywe hatua za makundi.Nisipokuwa makini leo inaweza kuwa mwanzo wa kunywa pombe
Kuna zile offside za Uongo aisee. Marefa wa Africa bado sana.Kwanza hata kabla ya hiyo penati kulikuwa na penalty nyingine ambayo Mwamuzi aliifunika. Miquissone alikuwa kwenye box akiufukuzia mpira kisha beki mmoja akampiga kiwiko na kumwangusha. Dogo alilalamika sana kwa kitendo kile cha mwamuzi kuifunika penalty ile, ambayo ilikuwa ya wazi zaidi kuliko hata ile ya pili.
Wanaonung'unikia penalty iliyotolewa hawasemi lolote kuhusu penalty ya kwanza ambayo Simba walinyimwa.
Kale kashika kibendela kanoko Sana.Refa kawasaidia kuna penati ya kabla ya hiyo alipata, offside nyingi zilizokuwa siyo halali
Hunywi pombe unakunywa nn we jamaa!!!?Nisipokuwa makini leo inaweza kuwa mwanzo wa kunywa pombe
nakunywa milendaaa haaa haaHunywi pombe unakunywa nn we jamaa!!!?
Africa watu wanashinda kwao tuu.Hongereni Mikia, Refa kawabeba. Kitu kimoja team zetu za East Africa tulikuwa tunafail ni mikakati nje ya uwanja Kama hiyo ya refa.. Hongereni kwa kulijua hilo