CAF champions league, team of the week

Wale tuliowaambia kuwa lwanga ni mtu mbad, wakatuponda hatujui mpira, sasa wamejificha, mpira kwapani, mchezaji anaonekana kwa touch ya kwanza tu, mengine ni majaaliwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…