CAF champions league

Creah

Member
Joined
Apr 6, 2018
Posts
79
Reaction score
82
Hizi ndizo baadhi ya timu dhaifu ambazo zitaingia makundi na zote zitawekwa port 4 na 3 isipokuwa MAZEMBE

=>Medeama/ Horoya
=>Big bullet/ To Mazembe
=>Al Ahly Benghazi/ ASEC Mimosas
=>Real Bamako/ Nouadhibou
=>Primerio De Agosto/ Al hilal Omduman
=>Al Merreikh/ Young Africa

NB: Baadhi.
 
Simba amekosaje hapo ewe kolowizard
 
Yaani team dhaifu umeiweka na Yanga halafu unaisahau Simba? We sio mzima.
 
Vituko haviishi kwa mashabiki wa bongo, kila siku mnaimba humu kuwa klabu bingwa wanacheza timu bora pekee hakuna timu dhaifu. Leo mnageuza kibao kumbe kunakuwaga na timu dhaifu
 
Vituko haviishi kwa mashabiki wa bongo, kila siku mnaimba humu kuwa klabu bingwa wanacheza timu bora pekee hakuna timu dhaifu. Leo mnageuza kibao kumbe kunakuwaga na timu dhaifu
Ajabu Sana
Sijui Kwa nini wanakuaga hivi?
Yaani wao umahiri wao ni kutolewa robo kila msimu
 
Unaweza kudhani kwamba Utopolo wamecheza makundi ya Champions League miaka ya karibuni kwa ngebe zao.Kumbe ni umri wa mtu mzima.Miaka 25 iliyopita.Mwiko nyuma kelele nyingi.Na ukubwa unaosemwa si wakukaa kama ndugu watazamaji na kupokea wageni kwa miaka 25.
 
Kila kitu kina mwanzo, Simba ilichukua miaka mingapi kufika makundi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…