CAF Championships[emoji471]; Al Hilal watafika mbali

CAF Championships[emoji471]; Al Hilal watafika mbali

Nafuatilia mechi zote za CAF Champions League naona kabisa huyu mwarabu mweusi wa Sudan anajua anachokifanya, naona game ya leo itaisha kwa kunyanyusha hawa Cotton Sports.

Tukutane robo fainali na SSC.
Al hilal walimpasua Al ahly.
mechi ya Mamelody Vs Al hilal Mame walishinda lakini kimbembe walikiona waliomba bora mpira uishe tu warudi nyumbani salama.
 
Nadhani Mamelod na Ahly watafuzu,mechi 2 za mwisho atapigwa zote!,pamoja na kushinda wamecheza mpira mbovu kwa kuwafunga wabovu zaidi.
 
Al ahly ana point zake SITA za coton sport na Al hilal na huku ikiwa Al hilal anapata point 0 mechi zilizobaki kwa kufungwa na mamelod na Al ahly.
 
Anaweza asipite hili kundi. Al ahly hata akipigwa na Mamelod bado ana nafasi. Al hilal inabidi ampige Mamelod ndio itakuwa amejihakikishia.
 
Utamuonea huruma huyo akienda cairo.ogopa Sana mechi Al ahly akiwa home alaf anahitaji matokeo ili afuzu.time will tell
 
Utamuonea huruma huyo akienda cairo.ogopa Sana mechi Al ahly akiwa home alaf anahitaji matokeo ili afuzu.time will tell
Al hilal atapigwa had achakaee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uhondo upo Egypt wazee, mechi ya kumaliza ilikuwa hii ya Leo, nafasi za wazi nyingi walipata ila kukosa utulivu kumewagharimu, kimbembe atakutana nacho misri, akitoka atajuta kwanini mechi na mamelodi aliiacha...
 
Back
Top Bottom