Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Al hilal walimpasua Al ahly.Nafuatilia mechi zote za CAF Champions League naona kabisa huyu mwarabu mweusi wa Sudan anajua anachokifanya, naona game ya leo itaisha kwa kunyanyusha hawa Cotton Sports.
Tukutane robo fainali na SSC.
Hiyo mechi watatakiwa wapate sare tu, sijui wataweza?Safari yao imeishia hapa... Watakutana na Pumzi ya Moto Cairo
Al hilal atapigwa had achakaee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utamuonea huruma huyo akienda cairo.ogopa Sana mechi Al ahly akiwa home alaf anahitaji matokeo ili afuzu.time will tell