Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Kwa vile fainali itawakutanisha Yanga na USM Alger. Kwa kuangalia takwimu za timu hizo mbili, ni dhaniri kuwa Yanga ina edge dhidi ya USM Alger kwa Vile Marumo Gallants waliwafukia USM Alger na Yanga imewafukia Marumo Gallants kwa hiyo Yanga ina uhakika wa kuifunga USM Alger na kuchukua kombe. If A>B and B>C then A>C. Why not?
Tukumbushane tu tena kuwa fainali za mashindano haya siyo kama choo ambacho kila mtu anaweza kuingia kujisaidia; kule ni kwa miamba tu wa aina ya Yanga. Vyoo vyote hata vya kulipia vinasihia kwa kunusa robo fainali siyo kuingia fainali.