Yes ni miamba kabisa [emoji2][emoji2][emoji2]Kwa vile fainali itawakutanisha Yanga na USM Alger. Kwa kuangalia takwimu za timu hizo mbili, ni dhaniri kuwa Yanga ina edge dhidi ya USM Alger kwa Vile Marumo Gallants waliwafukia USM Alger na Yanga imewafukia Marumo Gallants kwa hiyo Yanga ina uhakika wa kuifunga USM Alger na kuchukua kombe. If A>B and B>C then A>C. Why not?
Tukumbushane tu tena kuwa fainali za mashindano haya siyo kama choo ambacho kila mtu anaweza kuingia kujisaidia; kule ni kwa miamba tu wa aina ya Yanga. Vyoo vyote hata vya kulipia vinasihia kwa kunusa robo fainali siyo kuingia fainali.
Sasa hivi niko bize na mambo ya fainali. Nitakujibu baada ya kumaliza fainali na kuleta kombe Jangwani.Yes ni miamba kabisa [emoji2][emoji2][emoji2]
Hii ni miamba ambayo imewapasua Alhilal ,raja,wydad,Esperance ,mamelod ,Alhly,Petro de Luanda ,Simba,vipers ,Hadi ikabak miamba miwili pekee ambayo ni yanga na USM Alger, so sikupingi kabisa,jipige finger print alaf nusa then sema mm ni kilaza.
Miamba ni hii hii ambayo haijaingia hata makundi club bingwa miaka 26 na inabeza wanaume waliofika robo club bingwa.
Club bingwa hii hii ambayo inachuja makap hatua za awali Ili hayo makapi yakatifuane huko ,na baada ya kutifuata kapi Moja linakuja mbele na kujifananisha na ambao wavuka ambapo yenyew hayakunusa kabisa