CAF Confederation cup play-off round POTS

Mnyuke Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2021
Posts
4,472
Reaction score
6,391
Pots kwa ajili ya kupanga michezo ya play-off kwenye kombe la shirikisho barani Afrika imetoka na mchakato wa kupanga mechi hizo za nani anakutana na nani?, Zitafanyika kesho Oct. 26

IMG_20211025_151057.jpg
IMG_20211025_151052.jpg

CAF Confederation Cup Play-off round POTS

Draw Procedure

POT 1 vs. POT 2

POT 4 vs. POT 3

POT 1
7 Highest ranked teams from Champions League

POT 2
8 Lowest ranked teams from Confederation Cup

POT 3
9 Lowest ranked teams from Champions League

POT 4
8 Highest ranked teams from Confederation Cup

Simba SC ambayo ni timu pekee kwa Tanzania kusalia ktk michuano ya Afrika wana nafasi kubwa ya kupita ktk round hii na kwenda hatua ya makundi, robo fainali, nusu fainali au hata fainali kabisa na kuchukua kombe la shirikisho barani Afrika

Kila lenye kheri Simba SC
 
Pots kwa ajili ya kupanga michezo ya play-off kwenye kombe la shirikisho barani Afrika imetoka na mchakato wa kupanga mechi hizo za nani anakutana na nani?, Zitafanyika kesho Oct. 26

View attachment 1986479View attachment 1986476
CAF Confederation Cup Play-off round POTS

Draw Procedure

POT 1 vs. POT 2

POT 4 vs. POT 3

POT 1
7 Highest ranked teams from Champions League

POT 2
8 Lowest ranked teams from Confederation Cup

POT 3
9 Lowest ranked teams from Champions League

POT 4
8 Highest ranked teams from Confederation Cup

Simba SC ambayo ni timu pekee kwa Tanzania kusalia ktk michuano ya Afrika wana nafasi kubwa ya kupita ktk round hii na kwenda hatua ya makundi, robo fainali, nusu fainali au hata fainali kabisa na kuchukua kombe la shirikisho barani Afrika

Kila lenye kheri Simba SC
Kwa Simba hii, play-off inatosha kumpoteza mapema Sana!

Aina ya uchezaji umebadilika Sana, viungo hawaelewani wao kwa wao, nani apande kusuport nashambulizi na nani abakie Kama backup, ikitokea wameshambuliwa Gori!!

Labda wajirekebishe, ila wakiendelea hivi, bas watakaosugua goti kuiombea Simba watakua wanajitesa bure!!
 
Cha muhimu ni kujipanga tu vizuri mkuu
 
Hiyo pot 2 Simba wanayokutana nayo ya kawaida ila hao Soura
Mkuu, usiangalie ukawaida wa jina la timu, angalia Simba SC imejipangaje?? Yan tunazidiwa na utopolo mbali kabisaaah, hata mtibwa tukikutana nayo watatunyoosha simbuse hizo timu za port 2,??

Banch la ufundi Simba washituke mapema, viungo wetu wanapwaya Sana, kiwango Ni kibovu Sana!!
 
Yaah simba kwasasa kwanza wakubali wana kazi kubwa ya kufanya kwa timu ya sasa, tofauti na hapo hata huku Confederation zitakuja dhahma
 
Cha muhimu ni kujipanga tu vizuri mkuu
Ni kweli kabisa mkuu, Kennedy Juma Ni mzuri kuliko Wawa, Cha kushangaza wanamng'ang'ania Wawa utadhan atafia msimbazi, mipira ya juu haruki, kifupi kazeeka. , Imewapasa banch la ufundi kukitathmini kikosi upya na kuwaamini vijana Kama wakina mwenda sio kukalili siku zote kikosi kile kile!
 
Yaah simba kwasasa kwanza wakubali wana kazi kubwa ya kufanya kwa timu ya sasa, tofauti na hapo hata huku Confederation zitakuja dhahma
Alafu utasikia eti wachezaji wameuza match, wameuza match wapi nakati tumezidiwa maarifa na mbinu za kimchezo!!
 
Back
Top Bottom