CAF: Goli la Mwamba Chama ni goli bora la week

CAF: Goli la Mwamba Chama ni goli bora la week

Huyo ni Triplle C mwamba wa Lusaka
##weka mbali na wafukuza upepo##
Mimi nikiwa na akili zangu timamu sijashikiwa bunduki, nikaamua nichome viatu vyangu vya mpira moto, haiwezekani chama acheze mpira eti na mimi nicheze mpira.
Wakati nataka kuchoma viatu moto nikakumbuka kumbe kuna kina jesus moloko wanacheza mpira kuna kina kibu D nimeghairi kuchoma viatu vyangu moto 🤣
 
Umeonaa ee inabidi upambane tuu 😆😆
 
Mchezaji ambaye hajitumi uwanjani, hakimbii, yupo slow, mchezaji wa mechi ndogo leo imekuwaje CAF wakatoa recognition ya ubora kwa mchezaji wa namna hiyo?
CAF wamehongwa na Mudi..
 
Leo na wewe umekua na hekima [emoji38] [emoji38] [emoji38] nimekumbuka comment yako ya jana
Sijawahi kukosa hekima ingawa si mkamilifu kwa 100% ISIPOKUWA huwa niko neutral kulingana na jinsi utavyoingia kwenye 18 zangu, yani ukija kiusiku usiku nami nitakujia kiusiku usiku halikadhalika ukinijia kimchana mchana nami ndivyo nitavyokuwa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom